Usimchulie serious.Hivi uwa mnajuaje mkuu
Iwe ivo aisee maana hali mbayaHuu mwez mapema sana mzigo unaingia
Upi tena? Kila mwezi tunalipwa mara moja na mwezi huu leo ni siku ya pili toka mzigo uanguke.Mbona sisi idara yetu tumekwisha letewa slipu na tayari zimeingia benki.
Doooh, we jamaa una masikhara sana yani unajibu chat ya mwaka 2024 uko serious kweli?😅😅😅😅Upi tena? Kila mwezi tunalipwa mara moja na mwezi huu leo ni siku ya pili toka mzigo uanguke.
Uko busy sana na Mpira, uzi unatakiwa utembeeMbona mapema mazee? Leo tar ngp kwan
Una maana Kesho tar 19 mzigo unaweza kuingia?Uko busy sana na Mpira, uzi unatakiwa utembee
Tuma elf 50 chapNakopesha mkuje…riba 45%
Not easy. Uhakika j3, j4Una maana Kesho tar 19 mzigo unaweza kuingia?
Makato tayari muda huu s,Not easy. Uhakika j3, j4