Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,254
- 103,329
Unaendaje pub tarakimu hazijasoma kaka? 😂😂Naomba niage mwezi kwa sauti ya pengo_makeke,
"Mbonyeza kitufe cha hazina aache UPUMBAVU wake kama ana ulemavu wa vidole atumie hata miguu,jana nimekwenda pub nikashambulia bia vibaya mno halafu mshahara wanatoa saa nane usiku,Ningekufa je..?Maana usipolipa siku hizi wanakumaliza.