Kama ujapata Utapata vumiliaHivi huu mshahara ulishagoma kutoka mpaka leo?
Mkuu CRDB tayari?Kama ujapata Utapata vumilia
Huu uzi huwa unanifurahisha sana. Baada ya mshahara uzi unatulia.
Mapema tu mkuu ilibidi niingie liquor store kujipongezaMkuu, mzigo umeingia
😂Huu uzi huwa unanifurahisha sana. Baada ya mshahara uzi unatulia.
Mi nimetoka gengeni hapa kujaza mazagazaga ghetto. Yatanisukuma hadi katikati ya mwezi. Vingine atajua Mungu mwezi utaishajeMapema tu mkuu ilibidi niingie liquor store kujipongeza
Mchana haifikiDuuh nimebaki mimi tuu au?
😂😂😂Huu Uzi watumika kama toilet bowl, wakichamba sasa mpk tena June 21 ndo unatafutwa 😂😂
Mkuu, mshahara umeingia umemsahau hadi kumtag mwandaniRafikiiiiiiiiiiiii 💃💃💃💃💃💃💃💃
CRDB yenteMkuu CRDB tayari?
Vilivyo na tabia ya kuisha katikati ya mwezi sasa kama vinaambizana tena zile tarehe dume 😄😄!Mi nimetoka gengeni hapa kujaza mazagazaga ghetto. Yatanisukuma hadi katikati ya mwezi. Vingine atajua Mungu mwezi utaishaje
Akianzia bwana mkubwa gesi. Acha tuVilivyo na tabia ya kuisha katikati ya mwezi sasa kama vinaambizana tena zile tarehe dume 😄😄!
Hii pesa kila mtu lazima aionjemembers wa kwenye huu uzi mnachekelea wenyewe😂,, haya mtutupie ka kitu sisi wa vibalua
hebu nionjeshe hiyo yako kidog😂😂Hii pesa kila mtu lazima aionje