Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 34,600
- 100,816
Nile maharage mwisho wa mwezi mi mfungwa? 😂Mwambie atenge maharage mkuu.
Nile maharage mwisho wa mwezi mi mfungwa? 😂Mwambie atenge maharage mkuu.
Boss mambo tayari au vp??Nile maharage mwisho wa mwezi mi mfungwa? 😂
Wewe utamuua njaa mtoto wa watuNaitegemea sana nikaitolee mahari huko ukweni
Hamna mkuu, nipo nafresh App ya CRDB hapaBoss mambo tayari au vp??
Ishapita saa ujueNdani ya nusu saaa mzigo unatoka
January BADO MIEZI SABA, TUKO MWEZI WA TANO sasaVipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
TwafaaIshapita saa ujue
Watumishi wa TZ hapa salary ni 1.2m ambayo ni $500 Kwa mwezi hela ndogo mnooo, aisee Tanzania ni maskiniHamna mkuu, nipo nafresh App ya CRDB hapa
😂😂 mdogo mdogo mzee kitaeleweka tuDaa
Watumishi wa TZ hapa salary ni 1.2m ambayo ni $500 Kwa mwezi hela ndogo mnooo, aisee Tanzania ni maskini
Kama akiamua kuachia anaachia tu. Wala haihusiani na mshahara 😃Hawa jamaa mambo ya kuchelewesha salary watakuja kusababisha tutomb£we wake zetu.
una miez mingapi toka uanze kupokea salaryMungu nione helsb wasinione tena awamu hii🙄🙄
Hawakati mzee ,, angalia deni ESS bado hawajakata, ni mbaka july usihofu.Mungu nione helsb wasinione tena awamu hii🙄🙄
Ni G,ila mwaka huu unapaswa uwe HHivi wakuu, kada ya ualimi ajira ya 2011 anapaswa kuwa daraja gani? Naona kama nimestack G!
Hata kama alianza kazi na Diploma?Ni G,ila mwaka huu unapaswa uwe H
Acha na madaraja mangi 😂😂Ni G,ila mwaka huu unapaswa uwe H
Hivi hii bank ipo! Kuna jamaa alikopa milioni moja akakatwa miaka sana! Mpk marehemu lowasa kuwasaidia wasikatwe, ila baaada ya miezi miwili ngoma ikaendelea kukutwa tu 😂😂BAYPORT TAYARI