Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kama salary unakunja 1M kila mwenzi, kuna namna uwekezaji mbadala unahitajika aise. Tofauti na hapo tutaishia kula na kunywa tu.
Mkuu, tatizo maisha ya Dar yamekua expensive sana.

Nauli kwenda na kurudi kazini
Kodi ya Nyumba
Bills kama Maji, Umeme, kwa mwezi
Groceries na Gas mara 2 kwa mwezi
Extended Families
Bado burudani ndogo ndogo
etc.

Mtumishi wa kawaida kutoboa bila posho ngumu sana. Ata ukipewa Mil 2.

Hatupendi kutia huruma kwenye huu uzi sema ndio ivyo tunasubiri muujiza gani sijui.
 
Kuwa Mfanyakazi kazi kweli kweli Siku zote no pesa hadi mwisho wa mwezi
 
Mkuu, tatizo maisha ya Dar yamekua expensive sana.

Nauli kwenda na kurudi kazini
Kodi ya Nyumba
Bills kama Maji, Umeme, kwa mwezi
Groceries na Gas mara 2 kwa mwezi
Extended Families
Bado burudani ndogo ndogo
etc.

Mtumishi wa kawaida kutoboa bila posho ngumu sana. Ata ukipewa Mil 2.

Hatupendi kutia huruma kwenye huu uzi sema ndio ivyo tunasubiri muujiza gani sijui.
Ges kwa mwezi mara 2 matumizi mabaya hayo mzee
 
Mkuu, tatizo maisha ya Dar yamekua expensive sana.

Nauli kwenda na kurudi kazini
Kodi ya Nyumba
Bills kama Maji, Umeme, kwa mwezi
Groceries na Gas mara 2 kwa mwezi
Extended Families
Bado burudani ndogo ndogo
etc.

Mtumishi wa kawaida kutoboa bila posho ngumu sana. Ata ukipewa Mil 2.

Hatupendi kutia huruma kwenye huu uzi sema ndio ivyo tunasubiri muujiza gani sijui.
Ni kweli mkuu, DSM ni pagumu sana kwa watumishi wa kawaida. Ila sisi huku mikoani maisha ni simple sana, kuna miezi kadhaa hata salary haiguswi kabisa.
 
Mkuu soon utapata nadhan wanatoa kimafungu, mm mwenyewe nimepata asubuhi hii.... Muda flan nikaingia wenge nikajua tatizo ni Pepmis maana sijajaza kitambo sana
Nimefika huko kimawazo lakini nokagundua nimejaza pepmis vizuri kabisa. Ngoja nisubiri tu🤝🤝🤝
 
Mkuu, tatizo maisha ya Dar yamekua expensive sana.

Nauli kwenda na kurudi kazini
Kodi ya Nyumba
Bills kama Maji, Umeme, kwa mwezi
Groceries na Gas mara 2 kwa mwezi
Extended Families
Bado burudani ndogo ndogo
etc.

Mtumishi wa kawaida kutoboa bila posho ngumu sana. Ata ukipewa Mil 2.

Hatupendi kutia huruma kwenye huu uzi sema ndio ivyo tunasubiri muujiza gani sijui.
Mimi gesi natumia miezi 2 ndio inaisha
 
Back
Top Bottom