NmbBank gani kiongozi
Sisi wengine wana mpango gani na sisi!
I hope ni AI tu hii sina haja ya kuiamini.NMB na kwangu tayari mida hii
Tayari Mkuu, nipo viti virefu nimeshaanza sikukuu hapaI hope ni AI tu hii sina haja ya kuiamini.
Fanyeni chap kidogo tumeshaagiza makange na na povu la kutosha mchawi mesejiTulieni tupo tunaaprove malipo,kila mtu atapata stahiki yake.
Eti mauzo laki 3,mnaongea kiseng* ili watu waache kazi waje Kwenye upumbavu wenu wa kuuza laki 9 per day ili waingize faida ya sh 5,000 Kwa siku,TUKUBALIANE TU HIZI BIASHARA KWA TZ NI USENGE maana faida yote unaipeleka kwa maafisa wa TRA,OSHA,usafi wa Jiji and so on.Hakuna faida hapo bali unajilisha upepo ili uyafaidishe majambazi ya CCM na vibaraka wake ili waishi maisha ya kifahariKuna mtu anakunja mauzo laki tatu kwenye chips hapo mbagala
Kama upo siriaz nikupeleke
Hiyo 20,000 ni minimum
Dar watu wanakula chips 24hrs
Vibanda havifungwi
Bora wewe ushapata chako, wengine bado tunasikiliziaAisee pesa inaingia usiku kama Uchawi.
Kamba imepigwa sekunde ya mwishoNMB nao dakika za jiooooooni