Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kama kesho ndio unaenda kureport hadi upate Check number hada kwa Tamisemi ni kamchakato mkuu huwa wanadelay sana

Na Payroll huandalaiwa mapema sana before 15 uhakika wa kupata salary hii ni less than 50%
Kule Kwenye page ya sekretariati ya ajira wamesema mshahara wa January tunapata walimu wote kikubwa tuwahi kuripot

Lakn acha nikusikilize wewe hawa wanasiasa sio wa kuwaamini sana
 
Uwezekano wa kupata ni mdogo sana mkuu, usiweke sana matumaini.. Naongea kutokana na uzoefu wangu.
 
Mm nilikaa miez mi 5 bila mshahara ila ilikua ni taasisi kabla cjaja taasisi ya CBT baadae nikaandika arrears nikalipwa mzigo wa kutosha 😁 kama mpaka sasa hv hajariport na ni halmashauri 😁 ajipange ataambiwa arud mpka noti ikiingia na ni mwez wa pili huko labda
 
Attachments

  • Screenshot_2026-01-12_094731.jpg
    Screenshot_2026-01-12_094731.jpg
    85.5 KB · Views: 19
Mm nilikaa miez mi 5 bila mshahara ila ilikua ni taasisi kabla cjaja taasisi ya CBT baadae nikaandika arrears nikalipwa mzigo wa kutosha 😁 kama mpaka sasa hv hajariport na ni halmashauri 😁 ajipange ataambiwa arud mpka noti ikiingia na ni mwez wa pili huko labda
Walimu tulipot mwez wa pili?
 
Huwez pata mzee payroll mpk tar 10 zinakua tayar may be ungeriport tar 5 hv alafu hao secretariet wameishia hapo mengine ni ya muajili ambae kwa ww ni mkurugenz wa halmashauri
Ndo maana nimesema itavokua ndo hivohvo
 
Sio kuriport aisee 😁 baada ya kuriport na ukajaza mikataba ya ajira utaambiwa urud may be uende halmashauri inayojiweza mpewe pesa ya kujikim ukapambane kijijin
Hayo nayajua nachofanya ni kwenda kuripot Kwa mkurugenz na kurud nyumban nasubir tarehe ya kwenda kazn Kabsa maana vituo vya Kaz wamepanga tayar moja kwa moja
 
Mm nilikaa miez mi 5 bila mshahara ila ilikua ni taasisi kabla cjaja taasisi ya CBT baadae nikaandika arrears nikalipwa mzigo wa kutosha 😁 kama mpaka sasa hv hajariport na ni halmashauri 😁 ajipange ataambiwa arud mpka noti ikiingia na ni mwez wa pili huko labda
Taasisi gani hiyo mkuu, ilikufanyia ukiritimba namna hiyo..?
Bila shaka uliteseka sana, njaa ilikuwa kalisana😁
 
Kaka watu wameanza kulipwa mshahara mapema hivi karibuni tu waulize waliajiriwa miaka 15 nyuma wakuelezs ulikuwa unakaa miezi hata mi4 no salary

Mabtoresho makubwa yameanza hiki kipindi yaan unareport tarehe 6 tarehe 22 unapanga mstari ATM
 
Back
Top Bottom