Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,739
- 9,111
Utoke tu j3
Mkuu mwezi huu umeususa uzi, huu usaliti wa namna hii haukubaliki katika jamii yoyote iliyostaarabika 🤣😂Huu mwezi najiuliza sijui wawahishe au wasikilizie. Kusema kweli January ndefu inakuaga.
Kuna mtu anakunja mauzo laki tatu kwenye chips hapo mbagalaBiashara za kwenye PDF 😀
Toka magetoniSh 20 elf kuipata kwa biashara hiyo pekee hadi ugangamale hasa na si rahisi kama unavyodhani!
Yaani kufanikisha mpaka ujitoe kweli!
Biasharara inahitaj kujiumiza kweli kweliBiashara ingekuwa ni rahisi kiasi hiki, basi kila mtu angekimbilia kujiajiri.
Kesho hyo kwa crdbMakato tayari hapa kama sio leo jion basi kesho au keshomutwa mapema sanaaa
Ni mabenki yote mkuu hio option haifanyi kazi isipikuwa Bayport tu.Hii LOAN RESTRUCTURING upande wa benki ya CRDB haifanyi kazi kabisa shida ni nini?
Haifanyi kazi kwenye mabenki yote sio CRDB tu. Hata Loan takeover nayo haifanyi kazi kwenye huo mfumo kwa mabenki yote isipokuwa Bayport tu ndio option ya Loan takeover inakubali.Hii LOAN RESTRUCTURING upande wa benki ya CRDB haifanyi kazi kabisa shida ni nini?
Yaan sijui wanatuchukuliaje aiseeHaifanyi kazi kwenye mabenki yote sio CRDB tu. Hata Loan takeover nayo haifanyi kazi kwenye huo mfumo kwa mabenki yote isipokuwa Bayport tu ndio option ya Loan takeover inakubali.
Utumishi wamekiwa wazembe katika hili.
Nisamehe kaka. Tokea juzi naangaika na madumu ya majiMkuu mwezi huu umeususa uzi, huu usaliti wa namna hii haukubaliki katika jamii yoyote iliyostaarabika 🤣😂
Kwanza ni nini? Kwa maelezo mafupi msaada.Hii LOAN RESTRUCTURING upande wa benki ya CRDB haifanyi kazi kabisa shida ni nini?
Pole mkuu, we mi mtu muhimu sana hapa maana hata mshahara ukitoka usiposema wewe officially ni kama unakua sio mshahara original.Nisamehe kaka. Tokea juzi naangaika na madumu ya maji
Kila mtu haishi Mbagala, au tuseme DarKuna mtu anakunja mauzo laki tatu kwenye chips hapo mbagala
Kama upo siriaz nikupeleke
Hiyo 20,000 ni minimum
Dar watu wanakula chips 24hrs
Vibanda havifungwi
Nd'omaana nikasema ukikomaa mwenyewe haisumbui, ila ukiajiri staff, iiiih ni ngumu kutoboa ng'wanawane.Toka magetoni
Tatizo mnataka mueke vijana msiwe part and parcel ya biashara
Hiyo ni ela ndogo sana
Tafuta maeneo ya stand
Una uhakika?Mzigo tayari tukutane January 2026 hii 2025 ishaenda
Bank gani kiongoziMzigo tayari tukutane January 2026 hii 2025 ishaenda