Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,175
- 83,026
Ndio kaka 😂 hapo kwa nje unakuta nimeweka kiroba kikubwa cha mkaaUnachemshia maziwa tu nn kaka?
Ndio kaka 😂 hapo kwa nje unakuta nimeweka kiroba kikubwa cha mkaaUnachemshia maziwa tu nn kaka?
Huu ubahili upo kiwango cha chuma cha pua kabisa 😂😂We ata kama mm kwenye bajet ni mkali nikileta kitu naandika na nitao mkwala wote wasikie sitak kabisa
Ges kubwa mtu atumie mwezi hapana mkaa upo gesi ni kwaajili ya vitu vidogo vidigo tu lakni sio kupikia ges kila kitu sina utajir uhoHuu ubahili upo kiwango cha chuma cha pua kabisa 😂😂
Wewe ni mtumishi uwenda ni mwalimuEti mauzo laki 3,mnaongea kiseng* ili watu waache kazi waje Kwenye upumbavu wenu wa kuuza laki 9 per day ili waingize faida ya sh 5,000 Kwa siku,TUKUBALIANE TU HIZI BIASHARA KWA TZ NI USENGE maana faida yote unaipeleka kwa maafisa wa TRA,OSHA,usafi wa Jiji and so on.Hakuna faida hapo bali unajilisha upepo ili uyafaidishe majambazi ya CCM na vibaraka wake ili waishi maisha ya kifahari
SawaKila mtu haishi Mbagala, au tuseme Dar
Mkaa, unaharibu vifua vya wapishi, Acha kutarisha afya za wapishi tafadhali .. 😁😁Ges kubwa mtu atumie mwezi hapana mkaa upo gesi ni kwaajili ya vitu vidogo vidigo tu lakni sio kupikia ges kila kitu sina utajir uho
Wew mm sitak utani kwenye pesa yaan kwanza natengenezaga mazibgira ya kuogopwa kuombwa pesaMkaa, unaharibu vifua vya wapishi, Acha kutarisha afya za wapishi tafadhali .. 😁😁
Karibu sanaHatimae na mimi nitakua mdau humu ndani
Asante mkuu nina swal, je naweza pata mshahara wa January hii au mpaka FebruaryKaribu sana
Umeajiriwa tayari..?Asante mkuu nina swal, je naweza pata mshahara wa January hii au mpaka February
Ndio naenda wilayani kesho kuripotUmeajiriwa tayari..?
Utapewa February, then huu(jan) utaandikia kama madai.Ndio naenda wilayani kesho kuripot
Hayo madai sindo wanalipaga baada ya miaka au nawatapel kabsa?Utapewa February, then huu(jan) utaandikia kama madai.
Inategemea na Taasisi unayoenda mkuu, Ila kama huko Tamisemi utapeli ni mwingi sana. Usipokuwa nunda hata hela ya kujikimu unaweza usipewe 😀😀.Hayo madai sindo wanalipaga baada ya miaka au nawatapel kabsa?
Bas nimeisha maana ni ualimu japo nilikua nafatilia asal ya nyuki wadogo wadogo taasisi ya chakula na lishe TFNCInategemea na Taasisi unayoenda mkuu, Ila kama huko Tamisemi utapeli ni mwingi sana. Usipokuwa nunda hata hela ya kujikimu unaweza usipewe 😀😀.
Utapewa mkuu, ondoa shaka, Nenda karipoti, then waambie kuwa huna hela ya kutumia, watakuambia uludi home mpaka February 22 - 23 salary ikiingia ndo utaaza kazi rasmi.Bas nimeisha maana ni ualimu japo nilikua nafatilia asal ya nyuki wadogo wadogo taasisi ya chakula na lishe TFNC
Kama kesho ndio unaenda kureport hadi upate Check number hada kwa Tamisemi ni kamchakato mkuu huwa wanadelay sanaNdio naenda wilayani kesho kuripot