Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Halafu hizi annual increment wengine wanapata na wengine tunapita wima wima sijui tatizo ni nini?
Annual.increment inaangalia uliajiriwa mwezi wa Ngapi kama ni wa 5 badi wa 6 ndio unaipata baada ya kufunga Mwaka hazipo UNIFORM
 
Mm nipo masomoni ila nahaza, hiyo usipo jaza kwakua uko masomoni sio mbaya utaona kama ina kufavour ila ikifika muda wa kupanda cheo utaimba hallelujah, nakushauri kama unaweza jaza utanishukuru baadae
Mkuu, unapiga Masters au PhD
 
Wadau nitawa miss sana siku 90 daaaah Uzi wetu huu wa kuanzia tarehe 21
 
Wiki ijayo sio mbali nimebakiza 12,000 tu mfukoni, alafu nshahara ulichelewa mwezi uliopita. Ukichelewa na mwezi huu .....
 
Sahivi Bia nitakuwa nakunywa kwa Mangi, Wananikokoa sana hawa hasa tarehe kama hizi
 
Tetesi za mfumo wa muse CRDB kutofanya kazi. Hope hautaathiri mpunga maana tarehe ndio hizi za jogoo kuwika chamwino
 
Back
Top Bottom