Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wakuu nini kinaendelea, yani mpaka sahivi bado sijapata salary, hapa nmeingiwa na ubaridi balaa
Wengi sana hatujapata, hapa katibu wangu wa afya anatukumbusha tutulie.
Screenshot_20250824_191347_WhatsApp.jpg
 
We jamaa juzi alipokuwa anaongea yule kiongozi haukusia ? unachofanya ni hatari zaidi ; usijaze kama uko masomi ,usijaze ukiwa likizo.

Kiufupi kwenda kusoma ni mpango wako binafsi na hauko kazini ,miaka hiyo haihesabiki ng'o na cheo haupandi mpaka ufike muda sahihi.
Mm nipo masomoni ila nahaza, hiyo usipo jaza kwakua uko masomoni sio mbaya utaona kama ina kufavour ila ikifika muda wa kupanda cheo utaimba hallelujah, nakushauri kama unaweza jaza utanishukuru baadae
 
S
Hapana, ukiwa masomoni hakuna kujaza pepmis, pepmis ni majukumu unayotekeleza kila siku eneo lako la kazi. Ukiwa masomoni pengine utajaza vipindi ulivyohudhuria class.
Salary je vp watazuia
 
Hii siyo ya kuamini maana hatupigi ramli hapa.

Ukiwa masomoni, hutakiwi kujaza pepmis, unajua maana ya pepmis??
Wewe fanya ulivyoelekezwa na afisa utumishi wako mkuu.

Na sisi tunafanya jinsi tulivyoelekezwa.

Kila mtu atatoa milio kivyake.

Kwa maelezo zaidi, ongea na watu wa utumishi.

026 216 0240.
 
We jamaa juzi alipokuwa anaongea yule kiongozi haukusia ? unachofanya ni hatari zaidi ; usijaze kama uko masomi ,usijaze ukiwa likizo.

Kiufupi kwenda kusoma ni mpango wako binafsi na hauko kazini ,miaka hiyo haihesabiki ng'o na cheo haupandi mpaka ufike muda sahihi.
Endelea kujidanganya mwenyew. Na hata hivyo kila mtu anamipango yake mwenyew
 
Wewe fanya ulivyoelekezwa na afisa utumishi wako mkuu.

Na sisi tunafanya jinsi tulivyoelekezwa.

Kila mtu atatoa milio kivyake.

Kwa maelezo zaidi, ongea na watu wa utumishi.

026 216 0240.
. Niwapigie wa nini sasa, wakati jambo lipo wazi kabisa.

. Pepmis unajaza majukumu ( unaji commit kuwa mwaka huu nikiwa kazini nitafanya jambo fulani na jambo fulani mpaka mwaka wa serikalii unaisha.

Ukiachana na ulivyo elekezwa, kwa elimu yako uliyo nayo, nipe jibu lengo la kujaza pepmis ni nini???
 
Ndugu zanguni, naomba kuuliza, kwani kuna ongezeko la mshahara mwezi huu wa 8.... maana kwangu sielew nimeona umeongezeka, ni annual increments au ni nini? Maana nimeona wenzangu kama wawili hv nao wameona hvyo
 
. Niwapigie wa nini sasa, wakati jambo lipo wazi kabisa.

. Pepmis unajaza majukumu ( unaji commit kuwa mwaka huu nikiwa kazini nitafanya jambo fulani na jambo fulani mpaka mwaka wa serikalii unaisha.

Ukiachana na ulivyo elekezwa, kwa elimu yako uliyo nayo, nipe jibu lengo la kujaza pepmis ni nini???
Kwanza hapo ulipo mnatumia "Calendar Year" au "Financial Year"?

Labda tuanzie hapo, huenda tuko dunia 2 tofauti.
 
Kwanza hapo ulipo mnatumia "Calendar Year" au "Financial Year"?

Labda tuanzie hapo, huenda tuko dunia 2 tofauti.
Mbona haihusiani na nilicho kuuliza??

Nimekuuliza lengo la kujaza majukumu kwenye pepmis ni nini??
 
Mbona haihusiani na nilicho kuuliza??

Nimekuuliza lengo la kujaza majukumu kwenye pepmis ni nini??
Maswali gani hayo mkuu..

Uliza maswali yenye challenges, siyo unauliza definition au objectives za PEPMIS kitu ambacho ni known to everyone.
 
Back
Top Bottom