Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Pol

e Nilichelewa kujibu mkuu, NMB, Nilipoona sms nikachukua kadi na pikipiki nikakimbia kwenda kuchukia, nimefika ATM zinazingua ila namshukuru baada ya kusubiri zaidi ya nusu saa zilikaa sawa.
Hauna NMB App?
 
We kama unapata shukurubmungu watu wako sekta na idara na ma wizara tofauti sio wote n walimu humu na hata ma HR wanatofautiana hata scale pia zinatofautina wengine wana TGS wengine wana mambo yao huko so mtu akikwambia ivo tulia sio unabisha tu kama wafanyakazi wote wa serikali wako tamisemi
Sa nani yupo tamisemi teacher vipi, au ulikua unatishia kujipa moyo baada ya kuona wamekucheleweshea, kula mtori nyama zipo kwa chini
 
Hivi suala la kujaza PEPMIS likoje kama mtu yupo masomoni? Kuna sehemu yoyote kwenye ESS inayoonyesha kuwa mtu yupo masomoni ili asisitishiwe mshahara
 
Hivi suala la kujaza PEPMIS likoje kama mtu yupo masomoni? Kuna sehemu yoyote kwenye ESS inayoonyesha kuwa mtu yupo masomoni ili asisitishiwe mshahara
Hapana, ukiwa masomoni hakuna kujaza pepmis, pepmis ni majukumu unayotekeleza kila siku eneo lako la kazi. Ukiwa masomoni pengine utajaza vipindi ulivyohudhuria class.
 
Jamani samahani naomba kufahamu kama Kuna watu ambao hawajapata salary mpaka muda huu. Sina maana ya kufuatilia mambo ya watu ila Kuna mtu namdai na anasema bado hajapata salary.
 
Hivi suala la kujaza PEPMIS likoje kama mtu yupo masomoni? Kuna sehemu yoyote kwenye ESS inayoonyesha kuwa mtu yupo masomoni ili asisitishiwe mshahara
Mm nipo masomoni ila nahaza, hiyo usipo jaza kwakua uko masomoni sio mbaya utaona kama ina kufavour ila ikifika muda wa kupanda cheo utaimba hallelujah, nakushauri kama unaweza jaza utanishukuru baadae
 
Wewe unavunja Sheria katika utumishi wa umma, kazi gani unaripoti wakati hufanyi kazi?
 
Wakati wa opras kila mtu alikua anajaza hatakama walikaa bila kujaza miaka 3, mpka wa masomoni walikua wanajaziwa tena kwa kupigiwa simu na maafisa utumishi. Hiyo sheria ilivunjwa tokea huko, ila kupanga ni kuchagua, kasome usubiri miaka 3 mingine upande 😀
 
Back
Top Bottom