🙏🙏🙏🙏🙏Increment ipo kwa wanaotakiwa kupata mwezi wa 8
🙏🙏🙏🙏🙏Increment ipo kwa wanaotakiwa kupata mwezi wa 8
Tupo kwenye listKuna ambao bado hawajapata mishahara au ni mim tu?
Ata mimi bado, yaani sijui kuna nini?Kuna ambao bado hawajapata mishahara au ni mim tu?
Dah, sijui wanafikiria ninTupo kwenye list
Ni tatizo hilo sasaAta mimi bado, yaani sijui kuna nini?
Duhhh, wametuahidi mpaka sasa kimya.Ni tatizo hilo sasa
Tatizo ni hizi halmashauriDuhhh, wametuahidi mpaka sasa kimya.
Mpaka baadhi taasisi BadoTatizo ni hizi halmashauri
Dah kumbe bas ni issue seriousMpaka baadhi taasisi Bado
Nchi ngumu hii, ila nashukuru mimi haijawah kunipitaHalafu hizi annual increment wengine wanapata na wengine tunapita wima wima sijui tatizo ni nini?
Ulipanda daraja lini kwa mara ya mwisho?Halafu hizi annual increment wengine wanapata na wengine tunapita wima wima sijui tatizo ni nini?
2/8/2024 mkuu.Ulipanda daraja lini kwa mara ya mwisho?
Siyo wewe na tupo wengi ambao hatujapata na mi ilikua wa 7 2024 ila sijapata mpka leo. Kwani wapo waliopata ambao ulipanda nao?2/8/2024 mkuu.
Kwakweli bado sijafahamu, nilimuuliza mmoja akaleta mambo mengi haikuwa straight ila nimewasiliana na HR ameniambia nisubiri mwezi huu.Siyo wewe na tupo wengi ambao hatujapata na mi ilikua wa 7 2024 ila sijapata mpka leo. Kwani wapo waliopata ambao ulipanda nao?