Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,183
- 83,037
Pole sana mkuutoka mwaka uanze huu ndio mwezi nimechapika sijawahi kuona yani naona jumatatu ni mbali eeh Mungu nisaidie mimi🙆🏾♀️
Pole sana mkuutoka mwaka uanze huu ndio mwezi nimechapika sijawahi kuona yani naona jumatatu ni mbali eeh Mungu nisaidie mimi🙆🏾♀️
Umeandika kwa huzuni una vukaaje had jumatanotoka mwaka uanze huu ndio mwezi nimechapika sijawahi kuona yani naona jumatatu ni mbali eeh Mungu nisaidie mimi🙆🏾♀️
Wadau wengi hawana VPN ndo maana umeona fujo za countdown zimepunguaHUU mwezi naona mambo sio mabaya kabisaaa!! Ni nidhamu au na nyie mmepata Extraduty na Overtime jana!?
Songeshatoka mwaka uanze huu ndio mwezi nimechapika sijawahi kuona yani naona jumatatu ni mbali eeh Mungu nisaidie mimi🙆🏾♀️
Hivyo viExtraduty na viOvertime vinategemea na taasisi uliyopo mdogo wangu analipwa extra duty 1.9mHUU mwezi naona mambo sio mabaya kabisaaa!! Ni nidhamu au na nyie mmepata Extraduty na Overtime jana!?
Hongeta kwake mkuu nimelamba afu 80k siwazi wala nini hapa walete hata tarehe 30 sawa tuHivyo viExtraduty na viOvertime vinategemea na taasisi uliyopo mdogo wangu analipwa extra duty 1.9m
wewe siyo Mkuu wa Idara 🥲🥲 PoleHongeta kwake mkuu nimelamba afu 80k siwazi wala nini hapa walete hata tarehe 30 sawa tu
KeshoBado cku mbili
ni hatari boss ila hatimae week imeanza hii ni week nzuri kwangu😀Umeandika kwa huzuni una vukaaje had jumatano
Lipa nusu ya madeni nusu utamaliziaMwezi huu nina madeni kibao aisee sina hata raha kabisa
Au awacheki mpawaSongesha
Utawalipa j3