Bila bilaKuna ambao mnaendelea kusubiri huko maana kwangu bado na jua linapinduka magh'aribi
Bila bilaKuna ambao mnaendelea kusubiri huko maana kwangu bado na jua linapinduka magh'aribi
Mi mshahara haujawahi kufika tar 01. Ni vile tu mi born town.ha ha ha tarehe 5 mtaanza kutafuta pumba za mahindi mpike.
Tar 1 unatafuta nini??? 😀 😀 😀Mi mshahara haujawahi kufika tar 01. Ni vile tu mi born town.
Uzi wa kimasihara utakuwa unafanya kazi.Mi mshahara haujawahi kufika tar 01. Ni vile tu mi born town.
Yaan ww na mm hatupishani kabisa.Mi mshahara haujawahi kufika tar 01. Ni vile tu mi born town.
Increment ipo kwa wanaotakiwa kupata mwezi wa 8Ndugu zanguni, naomba kuuliza, kwani kuna ongezeko la mshahara mwezi huu wa 8.... maana kwangu sielew nimeona umeongezeka, ni annual increments au ni nini? Maana nimeona wenzangu kama wawili hv nao wameona hvyo
Si mchezoKumbe issue ilikuwa serious aiseeh
Mbona mimi mshahara wangu, sijagusa hata senti tano. Haya mambo sio universaltunaolamba salary tarehe 20 sasa hivi hadi hela inakaribia kuisha 🥴🥴
SErikali zipo nyingi.Kwani nyie mnalipwa na serikali gani??
Umetukosea sana walokole kwa kutoitaja serikali ya mbinguni 😅🤣😂SErikali zipo nyingi.
Kuna serikali ya mtaa
Serikali ya kijiji
Serikali kuu.
Until next timeUmetukosea sana walokole kwa kutoitaja serikali ya mbinguni 😅🤣😂
sawa tajiri, nikope hata ka 450k hapoMbona mimi mshahara wangu, sijagusa hata senti tano. Haya mambo sio universal
😃😀😃😃 Upo kama Mimi brotherMi mshahara haujawahi kufika tar 01. Ni vile tu mi born town.
Iliyopo inanitosha na familia yangusawa tajiri, nikope hata ka 450k hapo
acha uchoyoIliyopo inanitosha na familia yangu
LEte lipa namba, nikutilie kidogoacha uchoyo
Shukrani sana kaka, Mkuu 🙏🙏LEte lipa namba, nikutilie kidogo