BEZO JR
Platinum Member
- Jul 15, 2023
- 3,290
- 8,559
Siku zote nlikuwa najua wewe ni Ke,Kuna demu kaniambia nimpe nauli ya kazini, nimempa Ila jioni nimemualika dinner🍽🍝🥗🍱 na bia
Baada ya hapo ni kazi tu.
Siku zote nlikuwa najua wewe ni Ke,Kuna demu kaniambia nimpe nauli ya kazini, nimempa Ila jioni nimemualika dinner🍽🍝🥗🍱 na bia
Baada ya hapo ni kazi tu.
Bado Mkuu tupo live lakini kutokea Lilongwe lakiniVp makato kwenye pepmis tayari?
Ukitoka naomba buku
Buku ipi tena, salary ishaisha kabla haijaingia, we songesha bana 😃Ukitoka naomba buku
Ahaha buku nataka nipike ubuyu 😂Buku ipi tena, salary ishaisha kabla haijaingia, we songesha bana 😃
😂😂😂😂 uza zile karanga upate hiyo helaAhaha buku nataka nipike ubuyu 😂
Upo Sahihi Mkuu mimi Junior ndio nausaka mwaka wapili hapawewe siyo Mkuu wa Idara 🥲🥲 Pole
Ikiwa chinii saaana wengine 500k.. Mungu awasimamie nanyi siku Moja mfike nchi ya asali na maziwa
BadoVp makato kwenye pepmis tayari?
Bas kuanzia tar 24 hiyoBado
hii huduma nimeijua huu mwezi ndugu acha tu 😂😂😂Songesha
Utawalipa j3
Wateja wame kimbia😂😂😂😂 uza zile karanga upate hiyo hela
BaaaadoVp makato kwenye pepmis tayari?
Mpawa na songesha heri songeshaAu awacheki mpawa
Ewaaaaaah Uzi pendwaBaaaado
Niletee, hela ya delivery ipo....Wateja wame kimbia
Nakuja nayo chapNiletee, hela ya delivery ipo....
BadoVp makato kwenye pepmis tayari?