Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mie mshahara ukitoka hata siku 7 sitoboi ushaisha 😀😀
Ndo maisha ya watumishi wengi. Mishahara ya Serikali bado iko chini haiendani na hali halisi ya uchumi na mahitaji, hii inachangia kazi ya kupambana na rushwa kuwa ngumu. Kwa mtumishi ili kupambana na hali hii kuna haja ya kuwa shughuli ya ziada ya kuongeza kipato ili kuziba hilo gap.
 
Wewe na HR wako mko dunia yenu peke yenu😀😀
Lengo la ess/pepmis ni kubana watumishi wakiwa kazini. Hayo ya salary, loans, ni ya ziada tu.

Sasa akiwa masomoni unambana vipi huyo mtumishi mkuu wakati unavyoenda kusoma kuna Barua pale lazima uambatanishe kuwa hutakuwa kazini siku fulani hadi siku fulani. 😅😅.
 
Mkuu si tumeshakubaliana ufanye kama ulivyoelekezwa na HR wako!

Kwa sababu inaonekana tuko dunia tofauti!

Wewe unasema ukienda masomoni hampandi madaraja wala kupata increments, ila huku tunapanda na increments tunapata!

Wewe unasema mkienda shule hamjazi kwenye PEPMIS, wakati sisi huku tunajaza!

Huenda huko uliko mnatumia "Calendar Year", wakati sisi huku tunatumia "Financial Year"!

Mkuu nyie fanyeni jinsi mlivyoelekezwa na maafsa utumishi wenu, nasi tutafanya kama tulivyoelekezwa!

Tofauti lazima ziwepo and we have to embrace them mkuu.
 
Hatimae nimefikiwa !... Rasmi sasa tarehe yangu ya mshahara ni 25 na sio chini ya hapo
 
Maini,milki,filets,chips,chicken, lollipop,... shwaaaaaa tarehe 37 wa 9.....
Kila la heri kwenye shughuli za ujenzi wa Taifa
 
Back
Top Bottom