Ata mie bado.Wengine bila bila
Kacheki, usisubiri smsAta mie bado.
Nasubiri sms. Maana leo nikipata naanza weekend mfawidhi wangu nishamwambia maana wiki hii nimefanya kazi zaidi ya saa 40.Kacheki, usisubiri sms
tunaolamba salary tarehe 20 sasa hivi hadi hela inakaribia kuisha 🥴🥴Kacheki, usisubiri sms
Kaangalie salioNasubiri sms. Maana leo nikipata naanza weekend mfawidhi wangu nishamwambia maana wiki hii nimefanya kazi zaidi ya saa 40.
ha ha ha tarehe 5 mtaanza kutafuta pumba za mahindi mpike.tunaolamba salary tarehe 20 sasa hivi hadi hela inakaribia kuisha 🥴🥴
zinafika hizo tarehe , nimechoka natambaaa 😅😅ha ha ha tarehe 5 mtaanza kutafuta pumba za mahindi mpike.
Nimekupata mkuu, yes Yawezekana taratibu ni tofauti 🤝Mkuu si tumeshakubaliana ufanye kama ulivyoelekezwa na HR wako!
Kwa sababu inaonekana tuko dunia tofauti!
Wewe unasema ukienda masomoni hampandi madaraja wala kupata increments, ila huku tunapanda na increments tunapata!
Wewe unasema mkienda shule hamjazi kwenye PEPMIS, wakati sisi huku tunajaza!
Huenda huko uliko mnatumia "Calendar Year", wakati sisi huku tunatumia "Financial Year"!
Mkuu nyie fanyeni jinsi mlivyoelekezwa na maafsa utumishi wenu, nasi tutafanya kama tulivyoelekezwa!
Tofauti lazima ziwepo and we have to embrace them mkuu.
Tupo mzeeKuna ambao mnaendelea kusubiri huko maana kwangu bado na jua linapinduka magh'aribi
Dahhh! HR wetu alituambia mpaka saa tisa alasiri sasa ni saa kumi na moja kasoro.Tupo mzee
Kaka naww bado kumbeTupo mzee
Bora ww alikuambia saa 9 , sis alituambia 23/8 mzigo tyrDahhh! HR wetu alituambia mpaka saa tisa alasiri sasa ni saa kumi na moja kasoro.
BadoKaka naww bado kumbe
Dah poleBado