Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,724
- 9,069
Mimi nilikua masomoni, na tuliambiwa ukiwa masomoni hujazi. Sikujaza. Ajabu nilikosa increment mwaka Jana kisa sijajaza pepmis. Hawako very clear. Nilikosa laki nzima kwenye ongezeko la mshahara.Wakati wa opras kila mtu alikua anajaza hatakama walikaa bila kujaza miaka 3, mpka wa masomoni walikua wanajaziwa tena kwa kupigiwa simu na maafisa utumishi. Hiyo sheria ilivunjwa tokea huko, ila kupanga ni kuchagua, kasome usubiri miaka 3 mingine upande 😀