Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,599
Hesabu masaaHapa napumulia mirija sina ata buku mkuu
Hesabu masaaHapa napumulia mirija sina ata buku mkuu
Uhakika mkuuHesabu masaa
Shida nini kwani mjomba!!? Mbona unatuandama watumishi wa ummaWatumishi wa serikali mnafurahisha sana 😂🤣 serikali sikuhizi haina siri tena. Maisha yenu binafsi mnayaweka uchi, ndio maana ni rahisi sana kumtapeli mtumishi wa serikali ni rahisi sana kumfanyia ubaya na mambo ya ajabu mtumishi wa serikali.
Zamani ulikuwa huwezi kujua kama mtumishi wa serikali amelipwa mshahara, huwezi kujua anafanya kazi gani, huwezi kujua ana watoto au ana ndoa au mahusiano, ulikuwa huwezi kujua kama ana pesa au hana pesa... Ila sikuhizi kilakitu cha maisha binafsi ya mtumishi wa serikali mnayaleta kwenye mitandao.
Anyways mmeyataka wenyew chama tawala na serikali, ndio maana nchi imefika hapa ilipo, too bad too sad kwakwel 😅😭😎
Mshahara ukitoka mniambie na mimi 🍻🥂🍷
Maisha yetu binafsi!✓ni hili la mshahara tu?Shida nini kwani mjomba!!? Mbona unatuandama watumishi wa umma
Achana nae hana cha kumweka bize anakitafuta hapaShida nini kwani mjomba!!? Mbona unatuandama watumishi wa umma
Huko nakuachia wewe, unaweza kuamka asubuhi ukajikuta kichwa kimegeuka kuwa tikiti 😀Nimesikitika sana, lakini jaribu jimbo la kilwa lipo wazi mkuu, bado halijapata mombea.
HaaaaahUkitoka mnijulishe; nipo hapa ofisini naandaa lesoni plani ya wanafunzi wangu wa gredi ei
???Watumishi wa serikali mnafurahisha sana 😂🤣 serikali sikuhizi haina siri tena. Maisha yenu binafsi mnayaweka uchi, ndio maana ni rahisi sana kumtapeli mtumishi wa serikali ni rahisi sana kumfanyia ubaya na mambo ya ajabu mtumishi wa serikali.
Zamani ulikuwa huwezi kujua kama mtumishi wa serikali amelipwa mshahara, huwezi kujua anafanya kazi gani, huwezi kujua ana watoto au ana ndoa au mahusiano, ulikuwa huwezi kujua kama ana pesa au hana pesa... Ila sikuhizi kilakitu cha maisha binafsi ya mtumishi wa serikali mnayaleta kwenye mitandao.
Anyways mmeyataka wenyew chama tawala na serikali, ndio maana nchi imefika hapa ilipo, too bad too sad kwakwel 😅😭😎
Mshahara ukitoka mniambie na mimi 🍻🥂🍷
Umeangalia vp ?Makato tayari
Mkuu, na ninyi watu wa wizara bado huwa mnahangaika na hayo mambo ya lesson plan! Hii nchi ngumu sana.Ukitoka mnijulishe; nipo hapa ofisini naandaa lesoni plani ya wanafunzi wangu wa gredi ei
Utafika tu muda wako hata sisi tulikua kama wewe keep on praying and trusting God that he will provideNatamani nami ningekuwa naulizia mishahara kama nyie atareh kama hizi😔
Mimi nliagiza Jana rost akaweka na mchicha ule mchicha ni ya kienyej michunguu nyama yote ilikua chungu sikuweza kulaTunasubiri tukaagize mdudu kwa madaha!
Wamebadilishiwa mishahara ukiachana na july!Ufafanuzi mkuu
Kwahyo unapenda wa kisasaMimi nliagiza Jana rost akaweka na mchicha ule mchicha ni ya kienyej michunguu nyama yote ilikua chungu sikuweza kula
EssUmeangalia vp ?
Watumishi wote au hao hrWamebadilishiwa mishahara ukiachana na july!