DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,105
- 11,925
Anategemea kuhongwa na mabasha wakeWe unategemea nini?
Anategemea kuhongwa na mabasha wakeWe unategemea nini?
Hio aibu ina mbususu tamu sana, ni mwendo wa kuitia tu.DAh mnatia aibu 😄😆😂😀
Vibaya hivo 😌Ahahaha 🤣 🤣 🤣
Mshahara wa August umeshatoka ?Ni kawaida
Si amefanyia kazi
Ana haki ya kusubiria na aendeshe maisha yake
Sioni shida katika hilo
Watu wabaya hujificha kwenye mwamvuli wa dinisio wote. hulka tu ya
mtu tu. afande chiķœ alikaua mtu wa watu.dini au afande masud
Kihalali ni kesho mkuuMtu unafanya kazi hazina unapataje usingizi haujatulipa mshahara?
Mzigo tayari mkuu, mkabe shati mdaiwa wakoMshahara wa August umeshatoka ?
Kuna mtu namdai buku ya kiberiti alichokopa, halafu simuelewi elewi
Unajitahidi kuutendea haki uzi kwa mahudhurio mazuri kila unapohitajika 🤣🤣🤣Mtu unafanya kazi hazina unapataje usingizi haujatulipa mshahara?
Haaaaaaaaah hazina hazina hazinaaaMtu unafanya kazi hazina unapataje usingizi haujatulipa mshahara?
Leo haiwezekani makato bila bila had muda huuLeo silali, nipo hapa kwenye foleni nasubiri usome
. Kukopa hela bank kwa ajili ya kununua gari huo ni uvivu wa matumizi ya akili.Sasa kwa haraka haraka ela akatoe wapi.....mtu anataka gari ya ml 30 ukitaka ukitaka asave ela mpaka ifike ml 30 unafkiri ingechukua miaka mingap kusave ...pia kumbuka Kuna Time value of money je unafaham hii concept...kama huijui basi tulia waache wakope
Wengi tuliingia kwenye huo mtego kwa kufuata mkumbo tu 😭. Kukopa hela bank kwa ajili ya kununua gari huo ni uvivu wa matumizi ya akili.
. Nina miaka kadhaa kazini lakini sijawahi kukopa na sitegemei kukopa kabisa.
. Jitahidini kuwekeza, na kuweka mitego ya pesa sehemu mbali mbali,
Usiogope, kopa uendeshe hii chuma-kuishi ni muhimu pia. Kukopa hela bank kwa ajili ya kununua gari huo ni uvivu wa matumizi ya akili.
. Nina miaka kadhaa kazini lakini sijawahi kukopa na sitegemei kukopa kabisa.
. Jitahidini kuwekeza, na kuweka mitego ya pesa sehemu mbali mbali,
Afadhali wewe umesema ukweli mkuu, wengi wanajifariji lakini maumivu waliyo nayo mioyoni mwao baada ya kukopa mikopo bank ni makubwa mno,Wengi tuliingia kwenye huo mtego kwa kufuata mkumbo tu 😭
Mimi madungu yangu nina yapenda ni haya mkuu, Sasa nikununua kwa kukopa, hela ya mafuta nitaitoa wapi mkuu. Watumishi tuwekeze, mikopo ni Mateso sana.. 🙂 🙂Usiogope, kopa uendeshe hii chuma-kuishi ni muhimu pia
View attachment 3448425