Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,326
- 5,374
Crdb tayar
Hao hata ukikuta wanakufa hutakiwi kuwasaidia hata glass ya maji... Wamefundishwa kutokuwa na utu, unajipendekeza kwao ya nini...?Kama mmelipwa mseme aisee kuna polisi namdai miezi mitatu sasa. This time sikubali
UnaliwaCrdb tayar
Changes zipi tena?Nasikia kuna changes kwenye mshahara 😳😳
Duh labda ya 2010 yamejirudiaChanges zipi tena?
Mi na ww tunaheshimiana sanaCrdb tayar
Wewe subiri utaonaChanges zipi tena?
Nawe umeanza uongo dogoCrdb tayar
Ilikuaje iyo 2010 mkuuDuh labda ya 2010 yamejirudia
Changes zipi tena? Na si zingeonekana kwenye mfumoNasikia kuna changes kwenye mshahara 😳😳
🤣🤣🤣🤣🤣🤣💺💺💺💺💺nipo hapa kusubiri maamuzi ya hazina
Acha kuwapa watu mzukacrdb tayari
Tunasubiri tukaagize mdudu kwa madaha!Uzi umeamka, wapambanaji kupambania 😂😂