HatutawalipaNgoja tuendelee kupitia huu Uzi ili iwe rahisi kufatilia wadeni wetu 😅
TumeshamalizaKama mmelipwa mseme aisee kuna polisi namdai miezi mitatu sasa. This time sikubali
Usiseme ijumaa inaonekana mbali, sema keshoMimi naamini ujumaaa kitu kina waka
Hahaha.............. tafadhali mkumbuke kutulipa, mnajua kabisa bei ya pembejeo za Kilimo zilivyopaa 🤗Hatutawalipa
Hakulipi uyoKama mmelipwa mseme aisee kuna polisi namdai miezi mitatu sasa. This time sikubali
Kabisa ila ngoja tuone hawawezi kukubali mpaka j3Usiseme ijumaa inaonekana mbali, sema kesho
Hajakulipa miezi mitatu alipe leo? Hafu inakuaje unawaopesha haoKama mmelipwa mseme aisee kuna polisi namdai miezi mitatu sasa. This time sikubali
Sasa kwa haraka haraka ela akatoe wapi.....mtu anataka gari ya ml 30 ukitaka ukitaka asave ela mpaka ifike ml 30 unafkiri ingechukua miaka mingap kusave ...pia kumbuka Kuna Time value of money je unafaham hii concept...kama huijui basi tulia waache wakopeWatumishi wengi wanafeli kwenye hii stage.
1. Anakopa mkopo anaenda kununua gari 🚮🚮🚮
2. Anakopa mkopo anaazisha biashara 🚮🚮 🚮
3. Anakopa mkopo anaenda kujenga 🚮🚮 🚮
4. Kukosa elimu ya fedha.
5. No saving ( mda wote hana hela)
Af mna toa wapi nguvu ya kukopesha askari mzee?Kama mmelipwa mseme aisee kuna polisi namdai miezi mitatu sasa. This time sikubali
Good question watu wengi hua wanasema iv kwa kufata mkumbo bila kujua deep importance ya kukopa now badala ya kusave for yearsMKUU kwa Take home ya 439k utajenga lini!??
Upo Mwanza ambapo maeneo hadi ya Pembezoni bila 2M hupati kiwanja hizo Pesa mingi kwa awamu moja unaipataje!? Na.mtaji
Haja wajua vizuri ukisha sikia askari usimkopeshe kama una mpa mpe tu ila sio kwamba ata lipaHajakulipa miezi mitatu alipe leo? Hafu inakuaje unawaopesha hao
UongooCrdb oyeee
Punguza uongo we ni mtu mzimaCrdb oyeee
Anazingua..Punguza uongo we ni mtu mzima
Ukiangalia na kitambi chake alafu anadanganyaAnazingua..
NYinyi sijui ni taasisi gani hizo kila kukicha mnakua wa mwishoPunguza uongo we ni mtu mzima