😂 😂 😂 leo hatufanyi kazi ni mwendo wa kuchungulia Bal tu nmb app hadi kieleweke.Wakuu heshima kwenu, wakiweka mnishtue, hapa nimelala sitaki hata kutoka nje.
Sms zinazo ingia sasaiv zina boa sana. Mtu una fikiri ni pesa kumbe sio😂 😂 😂 leo hatufanyi kazi ni mwendo wa kuchungulia Bal tu nmb app hadi kieleweke.
MBona anasema bado halafu anaomba nimkopeshe vocha ya mia 5Mzigo tayari mkuu, mkabe shati mdaiwa wako
Sms kama hiiSms zinazo ingia sasaiv zina boa sana. Mtu una fikiri ni pesa kumbe sio
Zina boa sanaSms kama hii
Faulisha mipango yako na mkopo wa Mshiko Fasta hadi TSH MILIONI 1. Kujisajili piga *150*66#>3>1 au tumia App, ujue kiwango chako. Vigezo na masharti kuzingatiwa
Hizo updates mnaangalia wapi ?Updates Makato yamekatwa muda huu muda wote wote kuanzia sasa hivi mzigo unaingiaaaaa hayazidi masaaa 24
Wamenitumia hiiZina boa sana
Kwetu tayari.. afu me sipokelei hazina 😃MBona anasema bado halafu anaomba nimkopeshe vocha ya mia 5
Ahahah washajua leo siku yakoWamenitumia hii
Imerahisishwa! Sasa unaweza kutuma pesa kwenda M-Pesa Kenya kwa gharama ndogo sana kuanzia Tsh 2,000 ukitumia NMB Mkononi APP. #DhumuniHalinaMipaka
SidanganyikiAhahah washajua leo siku yako
Ya maokoto
Ndio maanaKwetu tayari.. afu me sipokelei hazina 😃
Umeweza kuingia ?Nani kachokonoa mfumo wa ess?
NoUmeweza kuingia ?
Tatizo litakuwa nini
Nadhani ni changamoto za kawaida utakaa sawa muda si mrefuTatizo litakuwa nini
Hapa napumulia mirija sina ata buku mkuuSms zinazo ingia sasaiv zina boa sana. Mtu una fikiri ni pesa kumbe sio