Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,407
- 103,907
One day mkali. Tusikate tamaaNatamani nami ningekuwa naulizia mishahara kama nyie atareh kama hiziš
One day mkali. Tusikate tamaaNatamani nami ningekuwa naulizia mishahara kama nyie atareh kama hiziš
Mnaangaliaje makato?Halafu hata makato kwenye mfumo bado hayajakatwa
Inabidi pesa iingie leoNa leo nitalalia mahindi ya kuchoma tena?
Makato yenyewe bado.crdb tayari
Haaaah jumatatu iyoooKesho shimo lisipotema..inabidi ndugu zangu mnikopeshe ili ni survive hadi juma3
Mkuu leo inabidi pesa iingieKesho shimo lisipotema..inabidi ndugu zangu mnikopeshe ili ni survive hadi juma3
Saa ngapi sasa? š¤£š¤£š¤£Mkuu leo inabidi pesa iingie
Kusema kweli hadi sasa sielewiSaa ngapi sasa? š¤£š¤£š¤£
Budah mshahara wenyewe ni watia maji tia maji ndugu wala hatuzidianiš„ŗNatamani nami ningekuwa naulizia mishahara kama nyie atareh kama hiziš
Ni kawaidaKwamba mtu anaendesha maisha yake kwa kutegemea malipo ya mwisho wa mwezi
Ww umejuaje?Wewe subiri utaona
Karibu kwangu tule ugali na mlendaš¤ØNa leo nitalalia mahindi ya kuchoma tena?
Nakuja rafikiKaribu kwangu tule ugali na mlendaš¤Ø
mtu tu. afande chiÄ·Å alikaua mtu wa watu.dini au afande masudHao hata ukikuta wanakufa hutakiwi kuwasaidia hata glass ya maji... Wamefundishwa kutokuwa na utu, unajipendekeza kwao ya nini...?
Ahahaha 𤣠𤣠š¤£Ww umejuaje?