Zamani ilikuwa mi 3 tuMiaka 5 mkuu.
Zamani ilikuwa mi 3 tuMiaka 5 mkuu.
Watu wamevurugwa yeye anawaongezea hesabu za magazijuto 😀Embu tuache kwanza 😀
Umeona een! Kuna watu wanatumia nauli ya zaidi ya 5000 kwa siku kwenda kazini. Hapo bado Kodi ya nyumba. Bado na wale wanaonja kinywaji kidogo. Ukitoa hivyo tu kabla ya msosi nyumbani na watoto wanaosoma, unabakiwa na deni kiasi gani?Ila acheni kutufanya sie ngumbaru sana yaan 439k inahitajika Elimu ipi!? Mkuu
Kipato kidogo kina range kuanzia ngapi hadi ngapi ?Elimu inahitajika tena sana mkuu.
Kwa mfano wakati mimi naaza kuajiriwa, niliweka mikakati madhubuti kabisa. Hii ilinisaidia sana mpaka Sasa iliniepusha kikombe cha kwenda kukopa bank.
Soon nitaleta thread hapa kuhusu elimu ya fedha kwa wenye vipato vidogo. 😋😋
Punguza ujuaji mkuu, yaani 400K uibane hadi ujenge? Labda uwe unaishi sayari ya Mars. Hiyo elimu tunaijua sana, tatizo kwa hiyo pesa hesabu hazikubali kabisa.Elimu inahitajika tena sana mkuu.
Kwa mfano wakati mimi naaza kuajiriwa, niliweka mikakati madhubuti kabisa. Hii ilinisaidia sana mpaka Sasa iliniepusha kikombe cha kwenda kukopa bank.
Soon nitaleta thread hapa kuhusu elimu ya fedha kwa wenye vipato vidogo. 😋😋
Kwanini ukae mbali na eneo la kazi? Tena ukute umepanga? Yan hadi vya kupanga unaenda kujificha mbali hivyoUmeona een! Kuna watu wanatumia nauli ya zaidi ya 5000 kwa siku kwenda kazini. Hapo bado Kodi ya nyumba. Bado na wale wanaonja kinywaji kidogo. Ukitoa hivyo tu kabla ya msosi nyumbani na watoto wanaosoma, unabakiwa na deni kiasi gani?
Hamna kipato kidogo mkuu( hii ni kulingana na mlalamikaji wa 439k) ,Kipato kidogo kina range kuanzia ngapi hadi ngapi ?
Wewe unahitaji elimu ya fedha pia 😋😋, ni wazi kabisa hujui namna ya kuzalisha fedha.Punguza ujuaji mkuu, yaani 400K uibane hadi ujenge? Labda uwe unaishi sayari ya Mars. Hiyo elimu tunaijua sana, tatizo kwa hiyo pesa hesabu hazikubali kabisa.
KAMANDA NAOMBA IWE LEO NA UNITAG LEO SI WEEKEND TUKI FREEElimu inahitajika tena sana mkuu.
Kwa mfano wakati mimi naaza kuajiriwa, niliweka mikakati madhubuti kabisa. Hii ilinisaidia sana mpaka Sasa iliniepusha kikombe cha kwenda kukopa bank.
Soon nitaleta thread hapa kuhusu elimu ya fedha kwa wenye vipato vidogo. 😋😋
😅 😅 😅. Sawa mkuu, haina shidaKAMANDA NAOMBA IWE LEO NA UNITAG LEO SI WEEKEND TUKI FREE
nimeandika Herufi kubwa kwa msisitizo maana keo hapa nilipo imebidi nisearch kila suluali niliyovaa weiko hii nimepata kitita cha Pesa taslimu 650/= tu
Watu wamevurugwa yeye anawaongezea hesabu za magazijuto 😀
Ile 90k waliyoongeza haina msaada.Tumebakiwa na hela ya kula Leo na kesho
Haitoboi mwezi mzima 😀Ile 90k waliyoongeza haina msaada.
Jana ndio ilikua karata yangu ya mwisho. Siendi job hadi mshahara.Haitoboi mwezi mzima 😀
Keshokutwa inshallah tutafikiwaJana ndio ilikua karata yangu ya mwisho. Siendi job hadi mshahara.
Ijumaa au Alhamis?Keshokutwa inshallah tutafikiwa
Ijumaa fasta tu, juma tatu kwishaHuu uzi huwa nauona ikikaribia tar 20