Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Twende mbele turudi nyuma. Au tusirudi kabisa,, mshahara ni mtamu. Nikipokeaga lazima nijspoil ka kitu b4 anything… yan hata kama ni likeki la cheese ama ka chocolate.

Ila ya biashara pia n tam ukishatoa expenses 😀
 
Back
Top Bottom