Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Hebu Watuwache rafikiiii. Kama kauwaaa kuanzia tarehe 17 sambambaa na uziii bampa to bampa hadi kielewekeee😁😁😂!

Mitano trena na trena kwa mamaa💃💃!

CCM houyyyyyyyyyyeeeee 💚

October tunatikiiiii rafikiiiiii yaniii tiki zakushatrooo ✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅


Cc Smart911
Ndio ndioooooo 💃💃
 
Na ukienda bank direct hawawezi kukuapplayia!?Inaweza kuchukua muda ila ngoja tungojee itoke hiyo approved plan..!🙏
Ongea na supervisor wako approve au subiri mtandao ukae sawa.
Mtandao umelemewa sasa. Si ajabu mtumishi wa umma kuambiwa hajaajiriwa bado au anadaiwa million mia 4 kwenye pepmis mda huu
 
Back
Top Bottom