Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,714
- 49,743
Basi taasisi yenu walichelewesha kitu . Hope utapata. Serikali haimdhulumu mtumkuu, bdo bila bila aiseeh.
Basi taasisi yenu walichelewesha kitu . Hope utapata. Serikali haimdhulumu mtumkuu, bdo bila bila aiseeh.
Mkuu nakuja PM kuna jambo nahitaj kukuulizaBasi taasisi yenu walichelewesha kitu . Hope utapata. Serikali haimdhulumu mtu
You are welcomeMkuu nakuja PM kuna jambo nahitaj kukuuliza
Tuna matatizo sisi! Tunajipa moyo mbona kabla ya nyongeza tuliweza kuishi then tunakakopea kanyongeza 22 August kilio 🤣🤣🤣Sioni malalamiko.
Wote tumeridhika.
Tuenjoy sasa maisha.
Tusikopee hicho kiongezeko halafu turudi hapa kumlaumu Samia.
Watu ni shida.Tuna matatizo sisi! Tunajipa moyo mbona kabla ya nyongeza tuliweza kuishi then tunakakopea kanyongeza 22 August kilio 🤣🤣🤣
Hawa jamaa ni ******* SanaCRDB mnazingua toeni huo mshahara
Nimepata nyongeza ya 58300... Sijaridhika nimetoka 60 elf naenda kuinywa yoteSioni malalamiko.
Wote tumeridhika.
Tuenjoy sasa maisha.
Tusikopee hicho kiongezeko halafu turudi hapa kumlaumu Samia.
Elfu 58,000 ujue ni 696,000 kwa mwaka hiyo.Nimepata nyongeza ya 58300... Sijaridhika nimetoka 60 elf naenda kuinywa yote
Mtu mwenye ofisi yake hanaga shobo na maisha ya wengine kijana!.. wenye ofisi wanajulikana !. HUU UTOTO UKIKUA UTAACHA-Nimewahi kuwa mtumishi wa umma kama Land surveyor, niliacha kazi Nikiwa na cheo senior land surveyor, so maisha ya Utumishi wa Umma nayajua
- Nimeamua kufungua ofisi yangu ya Upimaji ardhi na ushauri wa masauala ya Ardhi- Masaki
rikaBasi taasisi yenu walichelewesha kitu . Hope utapata. Serikali haimdhulumu mtu
Wanatupimia sanaElfu 58,000 ujue ni 696,000 kwa mwaka hiyo.
Wangeongeza hata laki mbili kwenye take homeWanatupimia sana
Laki 2, parefu maana madaraja yangekuwaje?Wangeongeza hata laki mbili kwenye take home
Usijekuwa umeshaumaliza weBila bila🙄
Acha kupiga mayowe wenzio wanaleweaBila bila🙄
Kesho saa3 tu kijana sogelea Crdb bank ukiwa tayari kuhomola😆Bila bila🙄