pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,474
- 4,873
4Hivi wakuu ,kupanda madaraja huwa ni miaka mingapi ukijumlisha na ule mwaka wa probation???, ma-HR na wengineo naombeni mwelekezo
4Hivi wakuu ,kupanda madaraja huwa ni miaka mingapi ukijumlisha na ule mwaka wa probation???, ma-HR na wengineo naombeni mwelekezo
una take home kubwa sana kiongozi. muwaache watumish wenyewe wesharidhika na maisha yao.MKUU kwa Take home ya 439k utajenga lini!??
Upo Mwanza ambapo maeneo hadi ya Pembezoni bila 2M hupati kiwanja hizo Pesa mingi kwa awamu moja unaipataje!? Na.mtaji
Ni 4 mkuuMiaka 5 mkuu.
Shauri yenu, hapo kazi lazima uone mwezi ni mrefu na kazi ni ngumu sana 😅 😅Embu tuache kwanza 😀
. Take home ya 439k ni nyingi sana, labda tu bado hujapewa elimu ya fedha, ndo maana unaziona chache. 😊😊.MKUU kwa Take home ya 439k utajenga lini!??
Upo Mwanza ambapo maeneo hadi ya Pembezoni bila 2M hupati kiwanja hizo Pesa mingi kwa awamu moja unaipataje!? Na.mtaji
Labda kulingana na idara mkuu, mimi ni 5 Years.Ni 4 mkuu
Inawezekana mkuuLabda kulingana na idara mkuu, mimi ni 5 Years.
MKUU hebu acha utani 439k unasema mingiuna take home kubwa sana kiongozi. muwaache watumish wenyewe wesharidhika na maisha yao.
Na wewe mkuu kumbe haupo kwenye zile sekta nono za posho kila mwezi?Mnatutisha, kuna posho nini tarehe za katikati?
. Take home ya 439k ni nyingi sana, labda tu bado hujapewa elimu ya fedha, ndo maana unaziona chache. 😊😊.
. Mimi kwenda kukopa bank labda wanilog
Ila acheni kutufanya sie ngumbaru sana yaan 439k inahitajika Elimu ipi!? Mkuu. Take home ya 439k ni nyingi sana, labda tu bado hujapewa elimu ya fedha, ndo maana unaziona chache. 😊😊.
. Mimi kwenda kukopa bank labda waniloge,
Hii pesa natumia Kwa wiki1MKUU hebu acha utani 439k unasema mingi
Watumishi wengi wanafeli kwenye hii stage.
1. Anakopa mkopo anaenda kununua gari 🚮🚮🚮
2. Anakopa mkopo anaazisha biashara 🚮🚮 🚮
3. Anakopa mkopo anaenda kujenga 🚮🚮 🚮
4. Kukosa elimu ya fedha.
5. No saving ( mda wote hana hela)
Tumebakiwa na hela ya kula Leo na keshoNikadhani mshapokea mshahara, kumbe mko mnachat
VizuriiiTumebakiwa na hela ya kula Leo na kesho
Elimu inahitajika tena sana mkuu.Ila acheni kutufanya sie ngumbaru sana yaan 439k inahitajika Elimu ipi!? Mkuu
If you see the same tree twice in the forest,you are lost. 🥴🥴Mimi mwenyewe nataka nikope, nipate nauli ya kuruka kwenda Marekani, kupiga picha mbele ya ikulu ya Marekani. Unalipi la maana la kunishauri ambalo wewe binafsi limekusaidia ?