Paspii0
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 638
- 1,043
Basi kimeshanilamba,Miaka minne
Basi kimeshanilamba,Miaka minne
ila yote haya chanzo ni mishahara mbuzi tunayolipwaMpka serikali kulazimisha 1/3 hali ilikuwa imeshakuwa mbaya.
Mtu anakopa mshahara wote, mwisho wa mwezi hapati kitu.
Hafanyi kazi.
Kila siku migogoro ya madeni ya kodi, madukani, na kausha damu. Drama kila muda.
Ndo umefikisha mitatu?Basi kimeshanilamba,
Nimeanza wa 5Ndo umefikisha mitatu?
au PEPMIS imepita na wewe?Nimeanza wa 5
Naona mambo tayari tukutane 22 AugustWakuu, mi nasign-off, tukutane August 20th.
Mbna me bdoNaona mambo tayari tukutane 22 August
Ukifuatilia nchi nyingi za Affika, mishahara yetu siyo mibaya.ila yote haya chanzo ni mishahara mbuzi tunayolipwa
sio walimu pekeyenu mkuu, huku nako mpaka sasa 9-0 ,hawa crdb wazinguzi sanaWenzangu mpo kada gani mliopata..? Crdb kada ualimu mpaka sasa bilabila.
Hapana labda kama kuna sababu nyingine, maana intake yangu ,same institution hakuna aliepandaPEPMIS imepita na wewe?
Mi mwenyewe mgeni kama weweUsipotiki kitatokea nin?
Naona watumishi( watumwa) wamepata hela sasa nadhani uzi ufungwe hadi mwezi ujao
mpe mawe huyo!
Tuonane AugustI can confirm. Mzigo ndani.
Tayari.CRDB mshahara watalipa lini aiseeh!
Kama
- ndio maana wengine tuliacha kazi, tukaenda kujiajiri, ili tujipangie
- Ona sasa unavyopiga mayowe ya mkopo
mkuu, bdo bila bila aiseeh.Tayari.
Kimbia chap , uelekeo kwa wakala