Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Braza acha dharau.
Makombo ndio yaneendesha familia yake hajawah kukuomba umsaidie kitu
-No soo dharau kuna mdau huko juu ndio alisema hivyo so nimemuiga tu kwa utani
- by the way niliacha kazi nikiwa na salary scale ya 1.8m nayo pia ni makombo tu
 
-No soo dharau kuna mdau huko juu ndio alisema hivyo so nimemuiga tu kwa utani
- by the way niliacha kazi nikiwa na salary scale ya 1.8m nayo pia ni makombo tu
Mkuu tutakuacha humu...utahamia uzi gani uendelee kujifariji?
 
Huyu kaongezewa 120,000/=
Deduction 🙄
Description Amount
Employee NSSF Contribution (*10%) - 162,895.94
HESLB (*15%) - 187,956.84
Income Tax - 211,431.95
Total - 562,284.73
 
Back
Top Bottom