Kiplayer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,355
- 2,261
We unapata hasara gani?Baada ya muda mfupi tu hawana hata 100
We unapata hasara gani?Baada ya muda mfupi tu hawana hata 100
Kwahiyo mtu akope mshahara wote, abaki na SIFURI😂😂😂Ninachogundua ni kwamba pamoja na mishahara midogo kwa ndugu zetu wafanyakazi ila bado serikali inawanyanyasa katika kuwawekea limit katika mishahara yao ambayo ni midogo ndo maana watumishi wetu wanaumia na top up maana unamkuta mtumishi hana option nyingine kupitia kiwango chake cha mshahara alichonacho.
Huyu aliependekeza watumishi kukopa moja ya tatu (1/3) ya mshahara ndo mchawi mkubwa wa watumishi.
Zamani mbona huu ujinga ulikua haupo na watumishi walikopa na kuendelea na maisha yao bila shida kupitia taasis za kifedha mbalimbali.
Sasa hii sheria ya moja ya tatu ndo imekua janga kwa watumishi mpaka kwenda kwenye mikopo ya kausha dam.
Mtumishi apewe uhuru ,mshahara kwake ndo chanzo muhim kwake cha mapato, limiti iwe asikope chini ya elfu 50 basi mengine tumwachie mwenyewe ili hali anatimiza majukum yake , hii itawasaidia sana watumishi kuepukana na mikopo ya kausha dam, madam hakuna mtumishi ambae amewahi kwenda kumfuata mwajiri kwamba ameshindwa kujikimu .
Kwani si wa kwake , watumishi sio watoto na serikali kuwapangia cha kufanya katika mishahara yao sioKwahiyo mtu akope mshahara wote, abaki na SIFURI😂😂😂
Ess pale kwenye e-mkopoUnaangalia wapi kama umekatwa loan board?
Kuna ofisi pana posho za Kodi ya nyumba, chakula, usafiri n.kNinachogundua ni kwamba pamoja na mishahara midogo kwa ndugu zetu wafanyakazi ila bado serikali inawanyanyasa katika kuwawekea limit katika mishahara yao ambayo ni midogo ndo maana watumishi wetu wanaumia na top up maana unamkuta mtumishi hana option nyingine kupitia kiwango chake cha mshahara alichonacho.
Huyu aliependekeza watumishi kukopa moja ya tatu (1/3) ya mshahara ndo mchawi mkubwa wa watumishi.
Zamani mbona huu ujinga ulikua haupo na watumishi walikopa na kuendelea na maisha yao bila shida kupitia taasis za kifedha mbalimbali.
Sasa hii sheria ya moja ya tatu ndo imekua janga kwa watumishi mpaka kwenda kwenye mikopo ya kausha dam.
Mtumishi apewe uhuru ,mshahara kwake ndo chanzo muhim kwake cha mapato, limiti iwe asikope chini ya elfu 50 basi mengine tumwachie mwenyewe ili hali anatimiza majukum yake , hii itawasaidia sana watumishi kuepukana na mikopo ya kausha dam, madam hakuna mtumishi ambae amewahi kwenda kumfuata mwajiri kwamba ameshindwa kujikimu .
Kwani si wa kwake , watumishi sio watoto na serikali kuwapangia cha kufanya katika mishahara yao sio
Mara kumi akokopa kwenye taasis za fedha zinazoeleweka kuliko huko kwenye kausha dam penye mariba ya hovyo , ila sasa watafanyaje wakati wapo na shida , na huku mshahara imepigwa pin ya 1/3 kukopea
Ni wa kwake ndio.Kwani si wa kwake , watumishi sio watoto na serikali kuwapangia cha kufanya katika mishahara yao sio
Mara kumi akokopa kwenye taasis za fedha zinazoeleweka kuliko huko kwenye kausha dam penye mariba ya hovyo , ila sasa watafanyaje wakati wapo na shida , na huku mshahara imepigwa pin ya 1/3 kukopea
E loanUnaangalia wapi kama umekatwa loan board?
Leta location and Brand yako tuje acha mboyoyo kijana
- una hela ya kulipia consultation?, huo mshahara unaopata huwezi kunilipa
- Nafanya consultancy za mashirika mbalimbali, makampuni mbalimbali, na ambapo consultancy 1 si chini ya 5,000,000/- unayo?
KweliCrdb oyeee...mitano tena kwa KIZIMKAZI
Unaendelea kupiga mayowe ya makombo ya CCM ya 650000/CRDB kwangu bado, siwezi abandon the ship..
Kuna mwenzako kaleta uzi huko hujauona? Dudu looote limetafunwa tafunwa na vidudu kwa kupenda malayaKuna malay* nataka nimtumie nauli aje nimtomb(e) kutoa hela yangu dukani kutombe(a) nimegoma nataka kumtumia kwenye mshahara.
Nina nyeg(e) na huu mshaharaa...!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Braza acha dharau.Unaendelea kupiga mayowe ya makombo ya CCM ya 650000/
AbsolutelyUnaendelea kupiga mayowe ya makombo ya CCM ya 650000/