Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Hivi wakuu ,kupanda madaraja huwa ni miaka mingapi ukijumlisha na ule mwaka wa probation???, ma-HR na wengineo naombeni mwelekezo
Miaka minne.

Kuna kipindi awamu ya Magu waliongeza ikawa miaka mitano, ila naona awamu hii walirudisha miaka minne
 
Back
Top Bottom