Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Shida ni kwamba ni Taasisi chache Zina Saccos huku LGA's ndio kabisaaaaa
Nimesikia hii msg nimecheka sana! Mkuu kwanini mikopo mingi namna hiii mkuu? Huna SACCOS ukope huko? Banks Kiukweli makato Yao ni makubwa! Unaweza kopa 2m ukatumia muda mrefu kulipa na ukaumia sana! Enewei KAKOPE
 
Niko
LGA si huwa kuna ile mikopo ya hazina isiyo na riba? Na siku hizi naona imekua inatoka kila mwaka. Waulize maafisa utumishi wako vizuri.​
Kwenye Taasisi mkuu hapo huku kwetu hamna SACCOS yoyote
 
Niko

Kwenye Taasisi mkuu hapo huku kwetu hamna SACCOS yoyote

Sawa hakuna SACCOS, ila huwa kuna mikopo ya kutoka hazina kwa watumishi wa LGA. Angalia mifano hapa chini. Hii huwa haina riba huwa inakatwa tu processing fee na insurance pale NIC
 

Attachments

Back
Top Bottom