Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Ulimbukeni wa simu ndio huwa sina we mama,we endelea kusubiri makombo ya ccm ya tsh 650,000 take home ndio maana uko humu unapiga mayowe na hapo unakuta una Samsung ya mkopo ndio maana akili ya kujiongeza nje ya mshahara huna akili kisoda imefikia mwisho hapo

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Umepotea jukwaa ndugu, humu ni kwa watumishi wa umna. Sijui kwa nini na ninyi wachuuzi hamtaki kuanzisha uzi wenu. Si mnasema mmejiongeza? Sasa jiongezeni kuanzisha uzi wenu mpeane faida na hasara za bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na wasomi
 
Wenzio unawadanganya watumie sabuni. Wewe unasubiri mshahara kutumia pisi nauli
Niliwaambia msioe sio msitomb(e)
Hakuna uhusiano wowote wa kutomb(a) na kuoa.

Sema nini, huu mshahara acha uishe maana wiki ijayo 31/07 posho ya nanenane inaingia chaaap.

Hii ndio nitatuliza akili..!!!

Pisi kali sanaa hii inanisumbua tokea March halafu leo imeingia king, yaani nina siku moja nzimaa ya kujifungia nayo ndanii..!!

Nataka kuibonda balaaa...!!!

Mtoto wa kindali yupo soo hooooootttt.

NB:-
Kutumia hela ya biashara kwenye mambo ya kipuuzi ni UJINGA ila mshahara acha utumike..!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mimi ni mwalimu unategemea nafundisha vipi kama mshahara sipati Kwa wakati afu wataka tufaulishe vipi watoto?

Mpaka saizi saa saba kasoro mshahara bado na watu tuna majukumu. Watoto Nina mke na wazazi wananitegemea kila mwezi mshahara unachelewa tu afu wataka tusikope Kwa mangi?

Kama ndo hivyo kazi hii kwangu itakuwa ngumu saana siwezi fundisha nikiwa na njaa
hii comment imenifanya nimecheka sana asubuhi na mapema😅😅😅😅
 
Nimesikia hii msg nimecheka sana! Mkuu kwanini mikopo mingi namna hiii mkuu? Huna SACCOS ukope huko? Banks Kiukweli makato Yao ni makubwa! Unaweza kopa 2m ukatumia muda mrefu kulipa na ukaumia sana! Enewei KAKOPE
mimi mikopo yote nacheza na saccoss plus vikoba sithubutu bank nimejifunza kwa mr yeye top ups za bank zimemmaliza hana hamu na kukopa tena😀😀
wakati naanza saccoss na vikoba alinidharau lakini tulipofika ananisaidia kulipa hata vikoba kwasababu tunakopa huko
ukichukua huku 50M kule 40M ukaweka kwenye mzunguko maisha yanaenda
watumishi banks zinatunyonya sana tuamke
 
Watumwa wote wako humu hela ikisoma tu wanatelekeza uzi. Fanyeni biashara mtakufa na stress pimbi nyie.
Wewe humu hakukufai. Nyuzi zako zote ni za kuhusu mahusiano na wanawake wanawake
IMG-20250723-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom