Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Chini ya laki 5 kwa siku mnawezaje kusurvive nyie wenzangu ?😂 mbona mi nashindwa?

Maana 4m ni kama 130k kwa siku. Hivi kwa hiyo pesa, mafuta unaweka kiasi gani? Nyumbani tuseme unafamilia, unawaachia kiasi gani? Na wewe ukitoka kwenda kwenye mizunguko, unakula kiasi gani? Na kama unafanya ujenzi walau kuna pesa ya mafundi na material kidogo, sasa hiyo pesa inatoshaje ukizingatia jioni inabidi ukae sehemu upate 2 tatu kidogo..
Wengi wa hivi, hamnaga kazi
 
Msipanic na Hawa watoto wajinga wanao fake kua mabilionea na wafanya biashara ,,,,hawana lolote ni majobless ,,nawajua vizuri
1. Huyu anaesema analipwa 4M hana Kaz kabisa ila amemaliza Chuo yupo Kitaa kula kulala.
2. Huyu alikua mwalimu akaona ualimi haulipi akakopa akapiga chini kajaribu biashara kaangukia pua hana hata mia mbovu.
NB nyinyi wajinga wa UTT tunaijua hiyo kitu miaka nenda Rudi,,, kama unajua kanzishe Uzi huko huu Uzi uheshimiwe.
By senior member wa Uzi huu joined January 22 2024
-Nimewahi kuwa mtumishi wa umma kama Land surveyor, niliacha kazi Nikiwa na cheo senior land surveyor, so maisha ya Utumishi wa Umma nayajua
- Nimeamua kufungua ofisi yangu ya Upimaji ardhi na ushauri wa masauala ya Ardhi- Masaki
 
wajuaji wengine haswa wale wasiokuwa watumishi wa umma tafadhali kuna majukwaa mengi mnaweza kushiriki huko, na sisi mkatuacha na maisha yetu magumu ya kutegemea mshahara. Kinyume na hapo ni utoto utoto mwingi na ujuaji wa hovyo mnaoneasha hapa. wewe kama unakunja milioni mia kwa mwezi kupitia biashara yako sisi haituhusu kabisa na wala hatuhitaji kujua hilo. Humu kunatuhusu watu ambao tunafanana kimasilahi hivyo basi tukihitaji kuhamasishwa juu ya uwekezaji na mambo mengine anzisha uzi tutakuja kupata madini huko. ila kwasasa hatutaki kusikia chochote zaidi ya CRDB au NMB tayari ama mama Kaongeza laki nk.
Wapuuze ... Wanaleta umuhimu kwenye maisha ya watu.
 
-Nimewahi kuwa mtumishi wa umma kama Land surveyor, niliacha kazi Nikiwa na cheo senior land surveyor, so maisha ya Utumishi wa Umma nayajua
- Nimeamua kufungua ofisi yangu ya Upimaji ardhi na ushauri wa masauala ya Ardhi- Masaki
Sema tu, DALALI.

Hayo maelezo meeeengi kadanganye wajinga.
 
wajuaji wengine haswa wale wasiokuwa watumishi wa umma tafadhali kuna majukwaa mengi mnaweza kushiriki huko, na sisi mkatuacha na maisha yetu magumu ya kutegemea mshahara. Kinyume na hapo ni utoto utoto mwingi na ujuaji wa hovyo mnaoneasha hapa. wewe kama unakunja milioni mia kwa mwezi kupitia biashara yako sisi haituhusu kabisa na wala hatuhitaji kujua hilo. Humu kunatuhusu watu ambao tunafanana kimasilahi hivyo basi tukihitaji kuhamasishwa juu ya uwekezaji na mambo mengine anzisha uzi tutakuja kupata madini huko. ila kwasasa hatutaki kusikia chochote zaidi ya CRDB au NMB tayari ama mama Kaongeza laki nk.
Nakazia Mkuu.

Rafiki Mahondaw ukuje huku hebu.
 
Back
Top Bottom