Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,861
- 18,418
Mi nimeanzakukatwa baada ya kukaa miaka 7 bila kukatwa.!!Loan board nilimaliza kitambo.
Kikwete kanikosa, Magu akanikosa ila Samia kanidaka..!!!
🫠🫠🫠
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mi nimeanzakukatwa baada ya kukaa miaka 7 bila kukatwa.!!Loan board nilimaliza kitambo.
Usiku mwema.
- unalipa SDL?
- unaniuliza swali la kipuuzi, kwani mimi Ofisa wa tra?
Niko Njombe, Mtaa wa dhambi, Bar inaitwa Mwechimpya Bar nakunywa Castle🏰 liteUsiku mwema.
Karibu tupige bia tajiri.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Pakujua kama unaongezeko ni loan board sio mkopo wa bank.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ofisi masaki umeachia wafanyakazi?Niko Njombe, Mtaa wa dhambi, Bar inaitwa Mwechimpya Bar nakunywa Castle🏰 lite
- hujui kuwa kuna flight siku hizi?Ofisi masaki umeachia wafanyakazi?
Nyie mbona mnawahi sanaa.Tazama imeandikwa tushukuru kwa kila jambo basi mimi Alhamdulilaah nashukuru mshahara umeisha salama uliingia majira ya saa 7 hivi na kufikia muda huu nawaza pa kukopa tena🥲🥲
Ina maana ulipata annual increment mwezi May na June ukapandishwa daraja? Inawezekana kweli?Mimi ongezeko nilipata mwezi wa 5 niliongezewa tu level 3 na june nikapandishwa daraja.
Hivyo ongezeko lipo.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Tena umechukua chartered flight- hujui kuwa kuna flight siku hizi?
Nimepiga nimepata nimepata nyongeza ya 90k hv total....nashukuruHapana mkuu, lazima na wewe umeongezewa sema wewe unakosea.
Fanya hivi, angalia salary slip ya mwezi June angalia deni lako la HESLB lilikua ngapi. Alafu chukua makato yako ya kila mwezi alafu toa kwenye lile deni la mwezi June alafu chukua hilo deni toa na deni la mwezi huu utaona amount uliyoongezewa.
Kiufupi ni kwamba, Hawajabadilisha figure ile ya makato ya mwezi ipo vile vile ila kiuhalisia makato yameongezeka, nadhan mwezi ujao yataonekana au kwenye salary slip ikitoka.
Enjoy🥂Nimepiga nimepata nimepata nyongeza ya 90k hv total....nashukuru
Mkuu wangu nakusihi sana usifanye Top up, kama unahitaji pesa bora ukope Bank ingine kwa hilo ongezeko la mshahara. Top up itakufilisi vibaya sana.Anaejua ukitaka kufanya calculation ya top up unafanyJE KWENYE ESS.MFANO ULIKOPA 2M UMELIPA SEVEN MONTH UNATAKA UTOP UP,
WENYE KIJUA TUPIGANE TAFU
kuna dgo alikuwa anakatwa 114k now makato ya bodi ni 132kHapana mkuu, lazima na wewe umeongezewa sema wewe unakosea.
Fanya hivi, angalia salary slip ya mwezi June angalia deni lako la HESLB lilikua ngapi. Alafu chukua makato yako ya kila mwezi alafu toa kwenye lile deni la mwezi June alafu chukua hilo deni toa na deni la mwezi huu utaona amount uliyoongezewa.
Kiufupi ni kwamba, Hawajabadilisha figure ile ya makato ya mwezi ipo vile vile ila kiuhalisia makato yameongezeka, nadhan mwezi ujao yataonekana au kwenye salary slip ikitoka.
Hilo ulilomshauri ndio lipo sahihi si vinginevyoMkuu wangu nakusihi sana usifanye Top up, kama unahitaji pesa bora ukope Bank ingine kwa hilo ongezeko la mshahara. Top up itakufilisi vibaya sana.
Samahani kama nitakua nimeingilia uhuru wako
Saa 3 usiku?Walinzi wa mipaka ya nchi na usalama wa taifa kiujumla wameshapata Chao muda huu.
Bora uchukue kwingine kuliko kutop up!Anaejua ukitaka kufanya calculation ya top up unafanyJE KWENYE ESS.MFANO ULIKOPA 2M UMELIPA SEVEN MONTH UNATAKA UTOP UP,
WENYE KIJUA TUPIGANE TAFU
Top up kaelewane na loan officer bank macho kwa macho.Anaejua ukitaka kufanya calculation ya top up unafanyJE KWENYE ESS.MFANO ULIKOPA 2M UMELIPA SEVEN MONTH UNATAKA UTOP UP,
WENYE KIJUA TUPIGANE TAFU
Sijawahi kujua hii kitu aiseeMkuu wangu nakusihi sana usifanye Top up, kama unahitaji pesa bora ukope Bank ingine kwa hilo ongezeko la mshahara. Top up itakufilisi vibaya sana.
Samahani kama nitakua nimeingilia uhuru wako
Imeingia saa ngapi?Wasoja tayari mkuu
Ntapata kidoga sana😳😳😳 kwani hia jesabu za top up hia wanafanyajeMkuu wangu nakusihi sana usifanye Top up, kama unahitaji pesa bora ukope Bank ingine kwa hilo ongezeko la mshahara. Top up itakufilisi vibaya sana.
Samahani kama nitakua nimeingilia uhuru wako