No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,378
- 13,452
Umepata peke yako?Kitu tayari, NMB
Umepata peke yako?Kitu tayari, NMB
UTT siyo mfuko wa kitapeli.Sema wasomi ndiyo watu wanaongoza kupigwa kwenye Kila scheme inayoanzishwa kuanzia deci, q net, kilimo Cha vanilla, chia seed, viwanja kigamboni etc.
Kitu tayari, NMB
Kila mwezi hao wazee wa tayari wapo, sijui wanapata faida gani kuhadaaItakuwa NMB ya Malaysia
Huwa siwaelewi kabisa...Kila mwezi hao wazee wa tayari wapo, sijui wanapata faida gani kuhadaa
Labda we ni Mwanajeshi.Kitu tayari, NMB
Hamna kitu ni washamba fulani tu hiviLabda we ni Mwanajeshi.
Yote haya sababu ni huna pesa, unasibiria kwa hamu ili ukalewee 😁Hamna kitu ni washamba fulani tu hivi
Wewe mwenye pesa unafata nini ktk huu uzi 😂Yote haya sababu ni huna pesa, unasibiria kwa hamu ili ukalewee 😁
Upo weweNina uhakika kwenye huu uzi hakuna maofisa wa tra,ewura,latra, tanroads,tanapa, ngorongoro,tpdc,tasac
Mimi ni consultant sio muajiriwaUpo wewe
wapo wa wapi sasa?Nina uhakika kwenye huu uzi hakuna maofisa wa tra,ewura,latra, tanroads,tanapa, ngorongoro,tpdc,tasac
Wanaokulipa ndio waajiri wako 😂😂😂Mimi ni consultant sio muajiriwa
Ni huzuni😭😭😭
Unalia nini we mshangaziNi huzuni😭😭😭
Sina hela.Unalia nini we mshangazi
We siyo mjumbe mpiga kura? Maana ndo wenye pesa sasa hiviSina hela.
Njoo uchukue lakiSina hela.