Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,598
😂😂Wameongeza kiasi ila n kdg sn kwa mshahara wangu ujue mie sipo tamisemi ss siwez kuelezea sisi huku huwa tunaongezewa kila mwaka
😂😂Wameongeza kiasi ila n kdg sn kwa mshahara wangu ujue mie sipo tamisemi ss siwez kuelezea sisi huku huwa tunaongezewa kila mwaka
Utawaua watu kwa hasiraWameongeza kiasi ila n kdg sn kwa mshahara wangu ujue mie sipo tamisemi ss siwez kuelezea sisi huku huwa tunaongezewa kila mwaka
Hii sio salary hii ni peanutTake home 1.7M. kaa Kwa kutulia
Kwangu ni salary.Hii sio salary hii ni peanut
Nimekaa palesaa 9 - 10 mzigo unadondoka, jioni bata lianze
Tawile mkuusaa 9 - 10 mzigo unadondoka, jioni bata lianze
saa 9 - 10 mzigo unadondoka, jioni bata lianze
Mitano tenaBado mkali. Sielewi kabisa
Nikiwa na njaa sitoagi mawazo sahihi ngoja nishibeMitano tena
Sukari nusu, nyama nusu,Elfu 10 yako uliyoongezewa kwenye mshahara unapanga uifanyie nini?
Kwani mmepokea bank gani ?Mshahara umeongezeka lakini take home baada ya makato ndiyo kizungumkuti