Tupo mbona, acha izo bhanaNina uhakika kwenye huu uzi hakuna maofisa wa tra,ewura,latra, tanroads,tanapa, ngorongoro,tpdc,tasac
Mbona mapema sana?Mi Kesho sitoboi
Hauko peke Yako tuko wengiMi Kesho sitoboi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Usiamin comment za mitandaoniNina uhakika kwenye huu uzi hakuna maofisa wa tra,ewura,latra, tanroads,tanapa, ngorongoro,tpdc,tasac
😁😁😁Mi Kesho sitoboi
Njoo kwangu hizi siku mbili, kuna unga tu mboga zilishaisha, kula ugali na chumvi utashindwa??Mi Kesho sitoboi
Upo wapi kwani??Njoo kwangu hizi siku mbili, kuna unga tu mboga zilishaisha, kula ugali na chumvi utashindwa??
Ha ha ha kaokote Kuni mkuuLeo gesi imekata
Kwani unakula gesi?Ha ha ha kaokote Kuni mkuu
Kama ni demu lete number nikutumie laki5Leo gesi imekata
Endelea kuishabikia chadema itakubadiliahia mshaharaLeo gesi imekata
Halmashauri wanalia sanaWazee wa TGS leo ni mwendo wa kutembea na kichinjio tu na kukaa karibu na atm.
Sielewi yaani sielewi kabisaMbona mapema sana?
😹😹😹 Leo pesa inabidi iingie.. isipoingia nakua mgeni wakoNjoo kwangu hizi siku mbili, kuna unga tu mboga zilishaisha, kula ugali na chumvi utashindwa??
Mi jana niliishi kwa elfu 2 mia 6 siku nzima afu fresh tu.Iko hivi kesho siendii Job hadi nione sms ya NMB baldifakeni ila Ugali Mayai mtamu hivi
Iingie tu make na mie ugeni mwisho leo kesho sitoboi 😂😂😂😂😹😹😹 Leo pesa inabidi iingie.. isipoingia nakua mgeni wako