Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wazee mbona kimya sana,,,? Au kimeeleweka huko..?
E+loan inazimazima sana inatufanya tusione deduction ya mwezi huu, shida ni nini .?
Screenshot_20250719-172139~2.jpg
 
Kazini HHR amesema Monday tunashushiwa majukumu. Nadhani tutarudi na e-loan officially
Mimeshashushiwa majukumu na nimeshajaza subtasks na zimeshakuwa approved lakini nikiingia kwenye ku apply loans napata ujumbe wa error 9001 your not eligible to apply loan because yo have not plan ni PEPMIs tatizo linaweza kuwa nini
 
Kufikia kesho itakua sawa tu na ucjali maana mi yalikua approved ijumaa na kuamkia jmos ngoma ikakubali
 
Back
Top Bottom