Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mtusaidie kujua wa TGTS F imeongezeka shilingi ngapi. Maana mfumo umegoma kufunguka
 
Ujumbe huo
 
Attachments

  • IMG-20250712-WA0011.jpg
    IMG-20250712-WA0011.jpg
    29.9 KB · Views: 27
Taasisi za kifedha na Utumishi, kupitia mfumo wao wa mawasiliano
Mimi naona ni usanii tu, kuna sababu hawataki kuisema na nina wasiwasi wameufunga kwa makusudi tu kwasababu wanazozijua wao.

Swali: Kama tatizo hulijui, unawezaje kutoa assurance kwa watu kuwa ifikapo Jumanne ya tarehe 15/07/2025 tatizo litakuwa limetatuliwa?
 
Sababu ziko wazi, watumishi walishaanza kutuma maombi ya loans wakati hata payroll za Julai hazijasainiwa, baada ya tar 15 sasa ruksa
 
Back
Top Bottom