Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,882
- 3,154
Kama ni kweli basi sio haba
Hamna kitu71,000/=
Kama ni kweli basi sio haba
Hamna kitu71,000/=
Kwenye take home au basic?71,000/=
Itakuwa basicKwenye take home au basic?
Ndio ukweli kama ukikuta tofauti nidai pesaKama ni kweli basi sio haba
Basic itakuwa 1,351,000Kwenye take home au basic?
TGHS B imeongezeka ngapi?Basic itakuwa 1,351,000
Ndio ukweli kama ukikuta tofauti nidai pesa
Hizi ni habari njema kwetu wazee wa 1/3Kama una mkopo, fanya kama vile unataka ku-top up mkopo utaona kiwango unachoweza kukatwa kimeongezeka na hata kiwango cha mkopo ambacho uko eligible utaona pia kimeongezeka tofauti na miezi ya nyuma yaani kuanzia mwezi wa sita kurudi nyuma.
kitu ambacho huwezi una ni ongezeko kwenye basic salary . Kwa kifupi, utaona changes kwenye kiwango cha hela unayoweza kukopea na kama ulikuwa hukopesheki yaani umefika mwisho, sasa utaona unakopesheka kutokana na hilo ongezeko.
Hata hivyo, wengine bado hawaoni mabadiliko yoyote huenda wanafanya changes kwa awamu, ila baada ya muda wote mtakuwa mmeona hayo mabadiliko.
Basic.yao ilikuwa ngapi kabla ya kuongezewa hiyo 71000?71,000/=
Kabla basic yao ilikuwa .ngapi?Basic itakuwa 1,351,000
Hii hesabuBasic itakuwa 1,351,000
KambaUjumbe huo
Wapuuzi sana hao watuNaona mfumo wa ESS kwenye loan bado wamepiga block
Au mshara mpya wa July umekwama?Naona mfumo wa ESS kwenye loan bado wamepiga block
Sijui kwa kweliAu mshara mpya wa July umekwama?
Watu washaukopea na walishaufanyia calculations kuwa utaongezeka kiasi gani. 🤣Au mshara mpya wa July umekwama?
Sasa sababu ya kuzui hio huduma mpaka leo ni nini?Watu washaukopea na walishaufanyia calculations kuwa utaongezeka kiasi gani. 🤣
1280,000/=Kabla basic yao ilikuwa .ngapi?
Mpaka leo utumishi tatu,watumishi sifuri!!Mechi ishakuwa ngumu hii kwa wafanyakazi.Hizi ni habari njema kwetu wazee wa 1/3