Hawa jamaa ni watu wabaya sana.Bila bila
Si haba, itawasaidia.1280,000/=
Wiki ya pili sasa inaenda ngoma ngumu hakuna cha deduction wala niniVipi wakuu, deduction zimepita huko kwa wenye mikopo ili tujue nyongeza..?
Kwangu ESS inazingua dashboard ya E-LOAN haisomi
Imerudi hewani E-loanVipi wakuu, deduction zimepita huko kwa wenye mikopo ili tujue nyongeza..?
Kwangu ESS inazingua dashboard ya E-LOAN haisomi
Vip kuna nyongeza?Imerudi hewani E-loan
Are you sure?Imerudi hewani E-loan
Umejuaje na uko daraja ganiDah, Kwangu imeongezeka 14,000 tu
Toa statutory deduction ndio useme mitano tenaKama ni kweli basi sio haba
Fafanua kidogo hapa.Kuna pin ya maana kwa tunaotumia mwaka wa fedha wa serikali kuweka malengo ya utendaji 😆😆😆
Kama hujaweka malengo ya utendaji kazi 2025/26 huwezi kukopaFafanua kidogo hapa.