Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,954
- 183,560
Twende lumumba🤣🤣Nani anigei buku 7 jumatatu namtia tweni
Twende lumumba🤣🤣Nani anigei buku 7 jumatatu namtia tweni
Mambo ya kupaka watu ma*vi nipewe buku 7 hapana hapa najua wadau wangu watafanya kama tunavofanyaga week ya mwisho wa mweziTwende lumumba🤣🤣
ahahahaaa asante ila siko elimu bali idara ya afyaWanalipa tulia mwalimu
Tajiri kabisa 30k unaweza ukanywa kabisa na Bia leo na ndizi roast na jumatatu unabaki na hela ya supuInshallah ikawe kheri maana Nina elfu 30 tu hapa ya kuzugia maisha
Hahahaha ukiona meseji ya nmb imeingia let's say umepokea 1,200,000=/ ukijachek balance iliyobaki unakuta salary advance wameshenyeta imebaki 690,000=/ flani... sometimes unahisi km ni unyanyasaji flani hvNdogo kiasi kwamba ikimaliza wiki we ni mwamba 😂
Bro we ni tajiri sana 1.2 ondoka kwenye huu uzi 😂😂😂Hahahaha ukiona meseji ya nmb imeingia let's say umepokea 1,200,000=/ ukijachek balance iliyobaki unakuta salary advance wameshenyeta imebaki 690,000=/ flani... sometimes unahisi km ni unyanyasaji flani hv
Mkuu hata ningelipwa mil 5 kwa lifestyle yangu ni ngumu kutoboa.... huwez amin nyama choma na pombe karibia ni kila siku... mshahara haujatoka lakin npo nakula vibe sasa hvBro we ni tajiri sana 1.2 ondoka kwenye huu uzi 😂😂😂
Sa si ndio kazi ya hela, we unataka pesa ikae tu hapo......Mkuu hata ningelipwa mil 5 kwa lifestyle yangu ni ngumu kutoboa.... huwez amin nyama choma na pombe karibia ni kila siku... mshahara haujatoka lakin npo nakula vibe sasa hv
Kuna mishe nyingi nje ya mshahara zinaingiza mpungaJitetee kama siyo kweli?
Hazina walishamaliza ndio maana benki wameshachukua chao mapema tangu janaHivi Hazina weekend hawafanyi kazi?
Moshi BADO MWEUSI?Mambo magumu sana bro 😂
Ngumu sanaaaaCircle ya Salary Advance ikianza, kujitoa ngumu sana
Moshi BADO MWEUSI?
Sasa shida nn tarakimu hazisomi kwenye akauntiHazina walishamaliza ndio maana benki wameshachukua chao mapema tangu jana
Nimecheka halafu nikalia sanaaaa, jamaa hatakiwi hapaBro we ni tajiri sana 1.2 ondoka kwenye huu uzi 😂😂😂
Mkuu hiyo kitu ni ngumu ni km kuokoka na kumrudia mungu.... ni ngumu sio kitoto...Circle ya Salary Advance ikianza, kujitoa ngumu sana
Mi mshahara wangu una koma moja tu, namba zako kubwa sana kakaHahahaha ukiona meseji ya nmb imeingia let's say umepokea 1,200,000=/ ukijachek balance iliyobaki unakuta salary advance wameshenyeta imebaki 690,000=/ flani... sometimes unahisi km ni unyanyasaji flani hv