shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,569
- 3,129
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Eti baada ya wiki mnapaki basi.Nafuatilia kwa karibu! Kesho ni kitimoto za lite kadhaa huku laki ikiwa kwenye mfuko wa shati! Nyumbani mama anachemsha kuku wa kienyeji kutoka pale shekilango! Baada ya wiki tunapaki tena basi!
Ndo maisha yetu watumishi!