Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,284
- 5,507
Huu ndio ule mwezi Wanalipa ARREARS.Wakuu,, Leo Kuna uhakika kweli .?
Huu ndio ule mwezi Wanalipa ARREARS.Wakuu,, Leo Kuna uhakika kweli .?
Hata wale waliokuwa wanadai tangu 2018 mwezi huu watalipwa?Huu ndio ule mwezi Wanalipa ARREARS.
Huwa ni mauza uza tu mkuu. Wanalipwa Randomly tuHata wale waliokuwa wanadai tangu 2018 mwezi huu watalipwa?
Wanalipa tulia mwalimuHata wale waliokuwa wanadai tangu 2018 mwezi huu watalipwa?
Nmb ya nchi ganiWale wa Nmb kitu kimesoma mwende tu benki
Kaseveyi uoneNmb ya nchi gani
Mshahara bado sana,kuweni na subira.Kaseveyi uone
jina lako umeprove limo ktk mfumo ? kama lishaingia kuwa na amani. ila kama huna uhakika mchek afsa utumishi akuchek kwa orodha,Hata wale waliokuwa wanadai tangu 2018 mwezi huu watalipwa?
Wewe kama Mimi tu, hapa natamani nikimbie watoto.Sielewi kabisa!!
Leo hakuna dalili sioniWewe kama Mimi tu, hapa natamani nikimbie watoto.
Unasubiria ipi bro, ya mwezi huu si ndio ulimpokelea mgeni 😂😂😂Leo hakuna dalili sioni
Wale wa Nmb kitu kimesoma mwende tu benki
Tukimbie tu kama vipi🤣Wewe kama Mimi tu, hapa natamani nikimbie watoto.
🤣🤣🤣🤣Unasubiria ipi bro, ya mwezi huu si ndio ulimpokelea mgeni 😂😂😂
Naona makato yashafanyika kikamilifu huko Hazina.Sielewi kabisa!!