Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Comments za humu huwa zinanifurahisha sana

Kuna madogo wako uzi wa kwa nini utumishi wanachelewa kuita watu kazini?

Wakifanikiwa kule wanahamia huku mshahara wa Januari vipi mbona umechelewa?

Kupata kazi kwenyewe kazi na akipata kazi anakutana na mshahara dusko. Mungu awape wepesi watumishi

Lucas Mwashambwa
​
Unanisema mkuu..nilkuwa kule sasa nimehamia huku
 
Back
Top Bottom