Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,284
- 5,507
Naona makato yashafanyika kikamilifu huko Hazina.Huu uzi nimeusaka sana.
Vipi jamani hali ikoje? Soon nakimbia familia🙆♂️🙆♂️
Maana yake ni kwamba ndani ya masaa 24 kutoka sasa tunalipwa!
Naona makato yashafanyika kikamilifu huko Hazina.Huu uzi nimeusaka sana.
Vipi jamani hali ikoje? Soon nakimbia familia🙆♂️🙆♂️
NMB moshi bado ni mweusi 😂😂😂Huu uzi nimeusaka sana.
Vipi jamani hali ikoje? Soon nakimbia familia🙆♂️🙆♂️
Wacha urongo weweCRDB mambo tayari
Tunalipa kodi kabla ya kulipwa😂Ila watumishi 🙌🙌🙌
Huo mshahara wa tarehe 20 haupo.CRDB mambo tayari
Masaa 24 kutoka muda huu uhakika✅makato hayajapita,
j3 na kuendelea uhakika
Kaka uki toka tukutane golden fork ya mikocheniSielewi kabisa!!
MKuu utakua halmashauri wwHuo mshahara wa tarehe 20 haupo.
Hadi Jumatatu mambo yatakuwa mazuri.Naona makato yashafanyika kikamilifu huko Hazina.
Maana yake ni kwamba ndani ya masaa 24 kutoka sasa tunalipwa!
Labda majeshi ndio tarehe 20MKuu utakua halmashauri ww
Hahahaaaa!!!Wale wa Nmb kitu kimesoma mwende tu benki
Maisha ya watumishi ni shida sana.makato hayajapita,
j3 na kuendelea uhakika
😂😂😂😂😂Kaka uki toka tukutane golden fork ya mikocheni
Unarusha roho wenzako!!CRDB mambo tayari
Ukiona salary haikutani na salary ya mwezi mwingine, jua una maisha magumu sana. 😁😁😁Maisha ya watumishi ni shida sana.
Mnakatwa Mankato gani?Makato yameshafanyika. Yani hawa serikali maana yake wanakata kwanza ndio mnapewa kalikobakia aise